Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile mbili za Stella Hatoi eti ilikuwa hujuma ya mfadhili wao wenyewe kuhofia kutimiza ahadi yake kuwapa KIA kila mchezajiVs Stella Artois
Hizo pots tayari na kila timu ina points zake. Kwa wenye nazo. Wengine ni zero points kwenye seeding.Mwalimu wako alikuwa ana kazi ngumu sana.Seedings za timu ndizo zinaamua Pot.
Pot haina maana timu zimeshagawanywa kwenye makundi hayo bali ndio zitasaidia kwenye draw siku ya Ijumaa tarehe 28/12/2018.
Jielimishe kwanza ndiyo useme la kwako. Rangi za Father Christmas kihistoria ni zipi?Nilidhani nimeona vitu vyote 2018, lakini hii ni funga mwaka...
Mbutembute fc mmekuja na father christmas wa kijani,...
Huyo atakuwa father christmas mtembeza bakuli!View attachment 977470
Relax bwana mdogo, hoja hapo ni fr.christmas wa kijani, kwa nini mnaharibu icon original?Jielimishe kwanza ndiyo useme la kwako. Rangi za Father Christmas kihistoria ni zipi?
The Colors of Christmas on whychristmas?com
...Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF...
Dah una uhakika mimi Bwana mdogo kwako?Relax bwana mdogo, hoja hapo ni fr.christmas wa kijani, kwa nini mnaharibu icon original?
...mngetengeneza christmas tree tu!
Kama Mbao dhidi ya MwaduiKama ulaya![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 977511
Jamaa muongo simba kwenye kundi alimaliza watatu na hakufungwa hapa tanzania alishinda 2 droo moja na mkundi ya likuwa ni 2 tu mfumo wa timu 16 umeanza mwaka juziHata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
Kwao walishinda 3 kwa 1 ... na hapa tuliwapiga 2 kwa 1Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
Mbona umepandisha povu?Dah una uhakika mimi Bwana mdogo kwako?
Yanga hajawahi kushinda mechi kwenye makundiNakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
Mbona umeweka picha ya jukwaa la yanga tu?MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona ni kubwa kimafanikio basi tambueni Yanga tumefanya na tutaendelea kufanya.
Jambo mlilotuzidi na katika hilo lazima tuwape hongera ni mfumo wa uendeshaji wa klabu yenu . . Nasi tunajisogeza taratibu tukifanikiwa tutawazidi vitu vingi japo mmekuwa wa kwanza kufanya mabadiliko!
HII NDIO YANGA TIMU YA WANANCHI, NGUVU YA UMMA!View attachment 976896
Hivi ukiwa na timu nne ktk mashindano na ukiwa na timu 8 ktk mashindano yenye timu nne ina ushindani sana?1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.