Simba Kila jambo wanashangaa

Hata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
Aliemuelewa huyu.
 
 
Simba tumecheza fainali na Stella Abidjan kombe la shirikisho barani Africa.Pia nusu fainali kombe la klabu bingwa Africa.
 
Reactions: Tui
Elimu Elimu Elimu rangi za Father Christmas ni nyekundu na nyeupe.Rangi za CHRISTMAS ndio ipo gold na green.
Na ipo gold na green kwa sababu ya christmas tree na decorations.
Father Christmas ndicho kinachoongelewa. Rangi zake ni nyekundu na nyeupe.
Pukachaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…