Simba Kimataifa Msimu Ujao: Is it road to another hell or new era of glory?

Fanyeni transformation....Ili mfanye usajili mkubwa kama yanga

Watumien sana Yanga as role model wenu

Hakika mtafanikiwa
Yanga huyu aliyekandwa na simba goli mbili? au yanga aliyetoka hatua za awali CL?
 
Muda utaongea mno
Halafu yule zao la Simba, kama walionyesha nia ya kumtaka naamini ataipa kipaumbele zaidi. Ila nasisitiza Simba wazingatie vimo vya wachezaji kama wanataka waende levo za juu zaidi kimafanikio.
 
Msimu huu hampati hata kikombe cha Chai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bandiko zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…