Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!
Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna watakavyofika Fainali ya Kombe hilo waliloliita Looser Cup.
Hicho ndicho kipimo cha kuona watavyovuka kiwepesi mpaka Fainali kutokana na uwepesi wa michuano yenyewe kama walivyojinasibu!
Tunawapongeza pia wanachama na mashabiki wa Simba na viongozi wao makini kina Try Again, Mo dewji, na Mangungu kwa kuiwezesha timu yao kushika nafasi ya tatu, hongereni sana!