Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
Leo hujavuta bangeHakuna mchezaji mkubwa kuliko club, ukizingua unanyolewa vizuri tu
Pusher wangu leo kachelewa manLeo hujavuta bange
Huyu alitaka kuwaulia shabiki lakini utashangaa wanamsajili. Uto wanapenda sana mizoga.Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.
Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.
Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.
Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.
Kila la heri Morrison.
Kubalini tu usajili wa Morrison ulikuwa ujinga kama mnavyoona kumwacha ni ushaujaa.Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.
Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.
Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.
Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.
Kila la heri Morrison.
Itakuwa mwenyewe kachoka kubebeshwa mahirizi mpaka ya kilo 20Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.
Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.
Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.
Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.
Kila la heri Morrison.
Metacha Mnata aliekuwa kipa tegemeo wa Yanga mbona aliondolewa kwa kukosa nidhamu?Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.
Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.
Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.
Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.
Kila la heri Morrison.
kwani simba mnataka kuanzisha shule?ss yanga atuna adui wa kudumu welcom back mapung'oZamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.