Simba kuachana na Morrison ni uthibitisho kuwa ni taasisi imara

Naam ,ukiwa hujawa regular first eleven hiyo ni ishara kuwa wewe ni mchezaji wa kawaida tu kwenye timu.

Jiulize
Morison ama asist ngapi?
Ana magoli mangapi
Ametengeneza clear chances ngapi

Hapo ndo utajua huyu ni muhimu sana au wa kawaida tu

Kwangu wachezaji Chama na Miqueson ndiyo iliumiza kuwapoteza , huyu ana imbalance timu ndiyo maana hana consistency
Mchezaji wa kuliliwa anamaliza msimu hata goli 10 hana , wala asist 10 hana huyo ni wa kawaida tu ,hata katika derby alizocheza keshafunga goli 1 tu miaka 3 yote aliyokaa katika timu hizi huyu ndo wa kuliliwa?
 
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.

Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.

Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.

Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.

Kila la heri Morrison.
Huyu alitaka kuwaulia shabiki lakini utashangaa wanamsajili. Uto wanapenda sana mizoga.
 
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.

Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.

Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.

Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.

Kila la heri Morrison.
Kubalini tu usajili wa Morrison ulikuwa ujinga kama mnavyoona kumwacha ni ushaujaa.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wakili msomi Bado yupo sana Simba, atarudi Simba. Morrison hajafukuzwa, nyie humu ndiyo mnataka afukuzwe.
 
Wakili msomi Bado yupo sana Simba, atarudi Simba. Morrison hajafukuzwa, nyie humu ndiyo mnataka afukuzwe.
 
Wakili msomi Bado yupo sana Simba, atarudi Simba. Morrison hajafukuzwa, nyie humu ndiyo mnataka afukuzwe.
 
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.

Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.

Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.

Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.

Kila la heri Morrison.
Itakuwa mwenyewe kachoka kubebeshwa mahirizi mpaka ya kilo 20
 
Metacha Mnata aliekuwa kipa tegemeo wa Yanga mbona aliondolewa kwa kukosa nidhamu?
 
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna.

Kwa namna Morrison alivyokuwa na mchango kwenye timu huku bado tuna safari ya kuusaka ubingwa na bado tuna kombe la ASFC, na bado wachezaji kibao majeruhi lakini uongozi umeona Morrison harekebishiki nidhamu yake, umeona Simba ni kubwa kuliko yeye.

Simba imemuonya vya kutosha Morrison na tukio la juzi la kumjeruhi shabiki wa Yanga ndio limewakera sana viongozi na kuamua kumweka kando, hata kama ni mchezaji mzuri kiasi gani.

Sidhani kama Yanga wanaweza kumuadhibu mchezaji muhimu kipindi hiki na kumwambia apumzike kama walivyofanya Simba.

Kila la heri Morrison.
kwani simba mnataka kuanzisha shule?ss yanga atuna adui wa kudumu welcom back mapung'o
 
Back
Top Bottom