siku Yanga tukicheza na Simba, logo ya simba tutaiwekea rangi ya njano na kijani
[/QUOTE
πππππππππ
Kufanya hivyo hakutamiepusha na kichapo, kichapo kiko pale pale.siku Yanga tukicheza na Simba, logo ya simba tutaiwekea rangi ya njano na kijani
Uko sahihi comment nimechukua kule lakin mi pia japo mwana Yanga naona huenda ikawa na mashiko.Mkuu acha kutia chumvi,nani kasema logo ya simba ina simba aliyekonda na wanataka kichwa tu au umekimbia na comment moja kwenye comments za mashabiki kule instagram ,simba bado wanachukua maoni hakuna waliolalamika logo ina simba aliyekonda ,ukiamua kutoa taarifa ilete ilivyo siyo unaongeza chumvi zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie watoe hilo duara, halafu waongeze simba jike na cub yaani wawe simba dume na jike na cub waweke na kaswala kwa image ya Mpira kakiwa chini kanaliwa na hao simba. Tutarepresent timu ya wanaume, wanawake na vijana
Kwani wanatupa pesa ya matangazo kuwatangazia nembo yao kwenye tangazo letuHaitakuwa mara ya kwanza mkuu mlishazoea kuharibu logo za watu.View attachment 1360854View attachment 1360855View attachment 1360856View attachment 1360857View attachment 1360858View attachment 1360859
Sent using Jamii Forums mobile app