mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Klabu ya Simba ipo njiani kuifanyia marekebisho nembo yao ili iwe ya kisasa na iendane na wakati.Inasemekana kuwa wapenzi wa Simba hawataki kumwona Simba aliyekonda katika nembo hiyo, hivyo wanahitaji kuweka kichwa tu cha Simba dume.
Wewe kama mwanachama na mpenzi wa klabu ya Simba unakaribishwa kutoa maoni kuhusu maboresho hayo yaani nini kiondoke, kiongezwe au ibaki kama ilivyo sasa.
Simba Nguvu moja.
NB: Nembo au logo haibadilishwi ila unaweza kuimodify kwa kupunguza au kuongeza baadhi ya vitu ikiwepo rangi.
WAPE SALAAAAAAM!
Sent using Jamii Forums mobile app