kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kutoka 7_ 0 na Ruvu hadi 0_0 na Azam ni kawaida. 1.3 bil za usajili Simba hazilingani na sare na Azam. Hofu imeshatanda kuanzia kwa H..aji Manele, wachezaji, wafadhili na mashabiki wa Simba SC hasa kutokana na kuamini kuwa Niyonzima na Okwi ni kete za ushindi kila mechi.
Sare ile ni tumbo la Shari kwao. Sare ile imeongeza confidence kwa timu nyingine katika mechi zao na Simba. Ni heri ya Yanga iliyoanza kwa sare na utaoNa habari yake mechi zinazofuata
Sare ile ni tumbo la Shari kwao. Sare ile imeongeza confidence kwa timu nyingine katika mechi zao na Simba. Ni heri ya Yanga iliyoanza kwa sare na utaoNa habari yake mechi zinazofuata