Simba kuboronga kumeanza rasmi

Simba kuboronga kumeanza rasmi

Kutoka 7_ 0 na Ruvu hadi 0_0 na Azam ni kawaida. 1.3 bil za usajili Simba hazilingani na sare na Azam. Hofu imeshatanda kuanzia kwa H..aji Manele, wachezaji, wafadhili na mashabiki wa Simba SC hasa kutokana na kuamini kuwa Niyonzima na Okwi ni kete za ushindi kila mechi.

Sare ile ni tumbo la Shari kwao. Sare ile imeongeza confidence kwa timu nyingine katika mechi zao na Simba. Ni heri ya Yanga iliyoanza kwa sare na utaoNa habari yake mechi zinazofuata
wamesajiri john boko kimeo anapaisha tu mashuti.
 
Hivi unaweza kushinda game zote za ligi?!

Hata ile Arsenal "INVICIBLE" bado ilitoa sare zaidi ya 7.

Haya ni mawazo ya watu wasio jua mpira.

Ligi bado mbichi, matokeo yoyote yaweza kutokea hata kama una Timu bora.

Man U ilikuwa haijaruhusu goli katika mechi 3 za ligi, lakini katika game moja tu wameruhusu goli 2 jana. Huu ni mpira..!

Ushabiki wa hivi unakera..!

Umetokwa na povu lisilo na msingi.
 
Kama unalijua hilo mwambie Manele aache kuropoka hewani. Yeye amesema ni mwendo wa dozi kubwa kwa timu zote, kumbe simba yenyewe inaonekana sasa ni okwi wala sio niyonzima kama Manele alivyotaka kuwaaminisha mashabiki wake
 
Back
Top Bottom