ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Simba ana mechi ngumu zijazo
Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7
24 February
Simba vs Azam
Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze kushika nafasi ya pili na kucheza CAFCL sio UMITASHUMITA shirikisho
Na Azam wana hasira, baada ya Ahmed Ali kuwaita Azam nzi wa choo, wala kinyesi. Hapa Simba na Azam zitagawana alama. Hii mechi ni sare.
1 March
Coast union vs Simba
Hii mechi itakuwa away huko Arusha
Tunajua Simba Huwa anapata Shida mechi za away na Huwa anashinda Kwabeleko Kwa maana ya red card na penalties. Waamzi wakitenda haki hapa ni sare au Simba apoteza, maana atakuwa ametoka kutumia nguvu kubwa kwenye Mzizima derby
8 March
Young Africans vs Simba
Hapa ndo balaa. Yaani Simba wanaoingia kwenye geto la Pdidy hapa lazima Simba wapakwe mafuta. Yanga atashinda goli 5+
Huu mtego Simba wamenasa
Yanga bingwa.