Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huo mzigo kaanza kuula baada ya kuutolea ng'ombe kwamba una cha ajabu? Acha ukuda makolo wewe!!!Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii ni timu ya mpira au kikundi cha wahuni?
Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Washabiki wa Yanga na 5imba ni asilimia ndogo sana kwenye nchi hii when it comes to politics. Sijui unataka kusema hao washabiki wanaishabikia CCM au maana yake ni nini?Simba na Yanga ni mtaji wa CCM.
We ujui Mo kawekeza kwa marefa? Wenzake wanadhamini timu zipate uwezo wa kujiendesha yeye anadhamini marefa wamsaidie kupata matokeo ya mchongo,,kwa maana iyo mechi ya coast ni familia ikishindikana refa yupo atamaliza utata,, mechi na Azam ni familia ikishindikana refa yupo atapewa advance ya malipo ilimradi waingie kwenye box mengine wamwachie refa atafunika,,mechi na yanga hapo ndio watatema ndoano maana watakutana na kisiki zaidi yao!Simba ana mechi ngumu zijazo
Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7
24 February
Simba vs Azam
Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze kushika nafasi ya pili na kucheza CAFCL sio UMITASHUMITA shirikisho
Na Azam wana hasira, baada ya Ahmed Ali kuwaita Azam nzi wa choo, wala kinyesi. Hapa Simba na Azam zitagawana alama. Hii mechi ni sare.
1 March
Coast union vs Simba
Hii mechi itakuwa away huko Arusha
Tunajua Simba Huwa anapata Shida mechi za away na Huwa anashinda Kwabeleko Kwa maana ya red card na penalties. Waamzi wakitenda haki hapa ni sare au Simba apoteza, maana atakuwa ametoka kutumia nguvu kubwa kwenye Mzizima derby
8 March
Young Africans vs Simba
Hapa ndo balaa. Yaani Simba wanaoingia kwenye geto la Pdidy hapa lazima Simba wapakwe mafuta. Yanga atashinda goli 5+
Huu mtego Simba wamenasa
Yanga bingwa.
View attachment 3246865
Kama uliangalia au ulihudhuria harusi wewe uliona dalili za mtu kuwa ameshakula mzigo pale? 😂🤣😂Kwani huo mzigo kaanza kuula baada ya kuutolea ng'ombe kwamba una cha ajabu? Acha ukuda makolo wewe!!!
Ubora wa Simba haupimwi na mechi za ligi ya NBC pekee, kachungulie rank za kimataifa.We ujui Mo kawekeza kwa marefa? Wenzake wanadhamini timu zipate uwezo wa kujiendesha yeye anadhamini marefa wamsaidie kupata matokeo ya mchongo,,kwa maana iyo mechi ya coast ni familia ikishindikana refa yupo atamaliza utata,, mechi na Azam ni familia ikishindikana refa yupo atapewa advance ya malipo ilimradi waingie kwenye box mengine wamwachie refa atafunika,,mechi na yanga hapo ndio watatema ndoano maana watakutana na kisiki zaidi yao!
mkuu umewahi kuwaza kayoko angekuwa fair akampa jamaa kadi nyekundu ya mapema sana msinge pigwa 5 tenaYanga wamuombe kayoko achezeshe tena ili awaokoe vinginevyo kipigo cha mbwa koko mwizi wa nyama kipo palepale.
Tunajua unapimwa na rank za kimataifa kwenye kombe la wamama na kiwango chenu uko ni Bora sana bwana mbumbumbu!Ubora wa Simba haupimwi na mechi za ligi ya NBC pekee, kachungulie rank za kimataifa.
labda kipindi cha kwanza zipatikane kadi nyekundu 2 upande wa yangaGame ya Yanga anashinda 2 au 3. Inabidi iwe hivyo tu, kutakuwa na makosa kadhaa ya marefa ila mnyama anatoboa, sijui kuhusu hizo game zingine.
Tafuta kazi ya kufanya
Amini hivyo mkuu hii game imewekwa hivyo myama apite tu, tusubiri siku ije tutairudia hii comment.labda kipindi cha kwanza zipatikane kadi nyekundu 2 upande wa yanga