MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima, hii pressure si ya kutulizwa na Ahmed Ally tu.
Pia pamoja na matatizo yote, waambieni wachezaji nidhamu ni top priority regardless ya jina la mchezaji. Mpeni Mgunda rungu la kutosha kipindi hiki kifupi ili asiendeshwe na mafather wa timu.
Waambieni wachezaji Mgunda ndio atatoa ripoti ambayo moja ya masharti ya kocha ajae ni kuyafata hadi dirisha dogo la usajili. Bila Mgunda kuwa huru kuamua wachezaji mafather watamsumbua.
Uongozi hauonekani wakati wa amani bali nyakati ngumu! Huu ndio muda wa viongozi mtambue makosa yenu, myarekebishe na kusonga mbele. Mna siku mbili za kutuliza hali ya hewa ili twende kwenye championship tukiwa wamoja.
#Nguvumoja