Simba kuelekea Championship Try Again and Barbra chukueni hii

Simba kuelekea Championship Try Again and Barbra chukueni hii

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima, hii pressure si ya kutulizwa na Ahmed Ally tu.

Pia pamoja na matatizo yote, waambieni wachezaji nidhamu ni top priority regardless ya jina la mchezaji. Mpeni Mgunda rungu la kutosha kipindi hiki kifupi ili asiendeshwe na mafather wa timu.

Waambieni wachezaji Mgunda ndio atatoa ripoti ambayo moja ya masharti ya kocha ajae ni kuyafata hadi dirisha dogo la usajili. Bila Mgunda kuwa huru kuamua wachezaji mafather watamsumbua.

Uongozi hauonekani wakati wa amani bali nyakati ngumu! Huu ndio muda wa viongozi mtambue makosa yenu, myarekebishe na kusonga mbele. Mna siku mbili za kutuliza hali ya hewa ili twende kwenye championship tukiwa wamoja.

#Nguvumoja
 
umeongea vitu vikubwa sana hizi mbanga alikuwa anazifanyaga MO dewji kupitia tweets zake anapiga mikwara kwelikweli kwa sasa hawa wanajifichia nyuma ya mgongo wa Ahmed Ally.

Wachezaji hawana nidhamu ya mchezo kabisa yaani they dont care kabisa sasa sijui mtu unajiita kiongozi unashindwa ku control hata hilo
 
Usiombe uwe kiongozi wa hizi timu za Kariakoo alafu timu ifanye vibaya! Unapokea simu za hasira kutoka top government officials, ministers , members of Parliament, matajiri na watu maarufu n.k , simu za hasira!

Hili mtu kama Ahmed Ally, Barbara, Try Again na Mulamula ndio wanaelewa, possibly wamezima simu zao now!
 
Kwa siku hizi mbili, Mgunda is the best option on our hand. Tatizo ni viongozi kuwajenga wachezaji wamuamini na kumheshimu nyakati hizi.

Kwasasa wachezaji wanapaswa kujengwa kisaikolojia wakati Mgunda akipanga short term plan kutuvusha.
Tumuamini....simple as that
 
Rais ameenda kuitafuta furaha kwingine
 

Attachments

  • Mo.jpg
    Mo.jpg
    71.7 KB · Views: 3
Kwahyo akirud anakuwa kocha wa coastal, halafu coastal itacheza na simba! Daaah[emoji15][emoji3]
 
Usiombe uwe kiongozi wa hizi timu za Kariakoo alafu timu ifanye vibaya! Unapokea simu za hasira kutoka top government officials, ministers , members of Parliament, matajiri na watu maarufu n.k , simu za hasira!

Hili mtu kama Ahmed Ally, Barbara, Try Again na Mulamula ndio wanaelewa, possibly wamezima simu zao now!
Kati ya watu àmbao siyo shock absorber ni Ahmed Ally. Kwenye Uongozi timu inakosa Mtu wa kuhimili misukosuko na maelekezo toka huku na kule. Bado simuoni Try Again akiweza hiyo kazi. Marehemu alikuwa Mtu na nusu na alihimili mengi labda Kwa vile alikuwa mwanajeshi. Kwangu Mtu aliyestahili kukabidhiwa rungu la kuiongoza Simba ni Popat na siyo Try Again. Hizi timu 2 za Kariakoo zinahtaji Nunda na Mtu mwenye kiwango zero cha kujipendekeza. Msemaji wa Sasa ni mwoga na Hana commanding power. Msemaji ndo sauti ya timu, ndo sauti ya viongozi. Siku nyingine wanapoteua Msemaji wazingatie Hilo na si Kila Mtu anaweza kuwa Msemaji. Liangalie jeshi la Polisi la Sasa na Msemaji wao linganisha na kipindi akiwepo yule Bwana aliyekuwa na msemo "SISI NDO WATAALAMU". Si sahihi Kila siku Mwenyekiti/Rais wa timu kutoka kuja kusema ndo watu watii.
Lingine ninaloliona ni Aina ya usajili uliofanywa. Nachelea kusema, Wachezaji wengi waliosajiliwa dirirsha kubwa wanapaswa kuachwa dirisha dogo, KWA NINI? Usajili bila muelekeo, sifa kutangaza Mtu ili tuonekane tumetangaza. Tuna Onyango, tuna Mkongo, tuna Juma na Nyoni kama back up, tumemleta Ouatara tumetengeneza mgogoro. Katikati mbele badala ya kuziba panapovuja (kiungo mkabaji) tukaongeza pilipili Okrah, Okwa, Kapama huku tukijua yupo Sakho, Banda, Muzamiru, Chama na Mtoto mpendwa.
 
MGUNDA lazima amsikilize matola ambaye hana LESENI A. KWa nini Simba wanamgangania MATOLA why
 
Back
Top Bottom