Simba kufanya maandano jumanne kisa points 3 dhidi ya Kagera Sugar

I am Simba fan. Tuache mpira wa visingizio na kusaka points za bwerere. Tunapaswa kutoka jasho. Tungekuwa na points 68 na anaetufuata akiwa na 52, huo upuuzi sijui wa maandamano mara kudai point za kibudu tungesahau na kupata ushindi wa heshima
 
Na Bashite atayaongoza maandamano haya akiambatana na Manara.

Maandamano FC imekua kituko.
 
Fifa wangetupumzisha m.iaka 10 tujifunze kuheshimu taratibu za mpira. Hii yote ni sababu Pccb wamelala usingizi. Kina kaburu wanahonga wanaharibu mpira,
 
Omb Omba FC a k a Matonya FC wanachekesha mbaya.
 
Walivunja viti na sasa wanataka kutuvunjia amani huu ni uchochezi wasiruhusiwe kuandamana hawa
 
Nimesoma vizuri barua ya simba kuhusu kuandamana

'Wanataka kuandamana kuanzia msimbazi hadi zilipo ofisi za wizara ya michezo ndio *OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO*

*Tunakumbushana ofisi za wizara zipo Dodoma*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani kwa miguu watafika mwezi wa tano dodoma
 
Simba imekosa viongozi. Mpira utaendelea vipi kama watumishi wanakuwa style za Manara na Jerry Murro.
 
Simba ni mkia fc hivi nyie mmepewa point za uongo harafu muna taka tukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…