Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nisaidie si nlisikia wamepewa hizo point kwan kimetokea nini tena?
Omb Omba FC a k a Matonya FC wanachekesha mbaya.Klabu ya Simba Sc yenye makao yake makuu mtaa
wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es salaam
inatarajiwa kufanya maandamano ya amani siku ya
jumanne.
Katika barua iliyoandikwa na Rais wa klabu hiyo
Evans Aveva kwenda kwa Kamishina wa Kanda
Maalum wa jeshi la Polisi mkoa wa Dar es
salaam, Simba watafanya maandamano hayo
kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 7
mchana.
Maandamano hayo yataanzia makao makuu ya
klabu ya Simba kuelekea ofisi ya Waziri wa
Habari, Sanaa, Utamaduni na Mchezo yakiwa na
ujumbe wa uonevu wanaofanyiwa na Shirikisho la
Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),
Klabu ya Simba imekua na malalamiko mengi
TFF na yamekua hayasikilizwi kwa kipindi kirefu,
lakini pia tumepata taarifa za kuitwa Kamati ya
Maadili msemaji wetu wakiwa na lengo la
kumziba na kumfunga mdomo asiweze kuseme
uonevu huo.
View attachment 499177
Nadhani kwa miguu watafika mwezi wa tano dodomaNimesoma vizuri barua ya simba kuhusu kuandamana
'Wanataka kuandamana kuanzia msimbazi hadi zilipo ofisi za wizara ya michezo ndio *OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO*
*Tunakumbushana ofisi za wizara zipo Dodoma*[emoji23][emoji23][emoji23]