Simba kufungwa Kombe la Shirikisho ni fedheha kwa taifa

 
Hii timu tuliambiwa ni timu bora kubwa kabisa inayoshika nafasi ya 5 Barani Afrika! Sasa sijui ni kwa nini na yenyewe imekubali kufungwa kirahisi tu na timu ya nafasi ya chini kama hiyo ya Costantine.
Huo ndio msimamo as of now huko ligi ya Algeria!Timu iliyoifunga Yanga 2 kavu,iko nafasi ya 5!Timu iliyoifunga Simba 2-1 inaongoza ligi!
Unaweza kupata picha kama Yanga ingecheza na constatine basi Yanga ingekuwa na wakati mgumu zaidi!
 
Mimi naongelea kwenye zile ranks za CAF mnazojisifia kila siku! Wewe unaleta msimamo wa ligi ya Algeria!
 
Hapana mkuu....lile shirikisho ni loser cup from the beginning...na saiz kaduguda kaliita kombe la wamama
Na ninyi ni maloser mlioingia huko kwa bahati mbaya ndio maana mnaburuza mkia bila goli wala point, na wiki hii mnaenda kupigwa tena kwa tp mazembe maana ana point nne na anashika nafasi ya tatu, kwahiyo hawezi kukubali kupoteza point kwao kirahisi ilihali kwenye kundi lenu ninyi ndio vibonde wa hao wote
 
Mimi naongelea kwenye zile ranks za CAF mnazojisifia kila siku! Wewe unaleta msimamo wa ligi ya Algeria!
Azam imeshiriki CAF CL league,ina maana Azam ni bora kuliko simba?
Nimekushangaa ulipoidharau constatine,ndio nikakuonesha kuwa msimu huu imejipanga na ndio inaongoza ligi kuu huko Algeria!
 
Timu imecheza dakika zaidi ya 180 na hakuna hata goli la offside!
 
Hapana mkuu...ma loser wote wapo shirikisho ( kombe la kina mama )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…