Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na history... we're talking about the moment....Kwani timu yenu ndio ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki club bingwa Afrika, Simba ilishiriki na ikaongoza kundi ambalo kulikuwa na bingwa mtetezi ambaye aliahika nafasi ya tatu mashindano ya vilabu ya dunia.
Muwe mnafuatilia mambo kabla ya kujiropokesha humu hiyo timu currently ndio inaongoza ligi ya algeria huku timu iliyowafunga ninyi ikiwa nafasi ya tano, acheni kukariri shirikisho lilistahili kuitwa kombe la loosers kipindi kile ambacho timu ikifeli klabu bingwa inaangukia huko kama kilichowakuta ninyi, na siyo kipindi hiki ambacho timu zinashiriki huko directlyHii timu tuliambiwa ni timu bora kubwa kabisa inayoshika nafasi ya 5 Barani Afrika! Sasa sijui ni kwa nini na yenyewe imekubali kufungwa kirahisi tu na timu ya nafasi ya chini kama hiyo ya Costantine.
Wewe ndio unaropoka Mc algers ndio bingwa mtetezi wa ligi yao baada ya kubeba ubingwa,,current nafasi aliyonayo kwenye ligi inategemea kacheza mechi ngapi na wenzake wamecheza ngapi kutokana na ushiriki wake mechi za kimataifa,,Muwe mnafuatilia mambo kabla ya kujiropokesha humu hiyo timu currently ndio inaongoza ligi ya algeria huku timu iliyowafunga ninyi ikiwa nafasi ya tano, acheni kukariri shirikisho lilistahili kuitwa kombe la loosers kipindi kile ambacho timu ikifeli klabu bingwa inaangukia huko kama kilichowakuta ninyi, na siyo kipindi hiki ambacho timu zinashiriki huko directly
Na wewe naona unaendeleza alipoishia mwenzio kwenye kuropoka, hapa hatuongelei msimu uliopita tunaongelea msimu huu, maana vikosi tulivyocheza navyo ni vya msimu huu na siyo msimu uliopitaWewe ndio unaropoka Mc algers ndio bingwa mtetezi wa ligi yao baada ya kubeba ubingwa,,current nafasi aliyonayo kwenye ligi inategemea kacheza mechi ngapi na wenzake wamecheza ngapi kutokana na ushiriki wake mechi za kimataifa,,
Kingine unachokosea ni kwamba kombe la shirikisho ni la shirikisho tu ndio maana caf walitaka kulifuta aijalishi icho unachokizungumzia,,Timu za shirikisho ni zile zinazoshika nafasi za pili na tatu na nchi nyingine ni zile zinazoshika nafasi ya 3 na 4 kama ilivyo Tanzania,,ivyo usilinganishe ubora wa timu zinazocheza ligi ya mabingwa na zinazocheza shirikisho utakuwa unakosea pakubwa sana!
Hapana mkuu....lile shirikisho ni loser cup from the beginning...na saiz kaduguda kaliita kombe la wamamaNa wewe naona unaendeleza alipoishia mwenzio kwenye kuropoka, hapa hatuongelei msimu uliopita tunaongelea msimu huu, maana vikosi tulivyocheza navyo ni vya msimu huu na siyo msimu uliopita
Huyo csc ana mechi 11 na kamzidi mca point mbili ambaye ana mechi 10, na hakuna uhakika huyo mca mechi yake inayofuatia ataondoka na point tatu au la, ndio maana tunaongelea current situation na siyo masuala la "wali" au "wata"
Halafu suala la kusema eti timu ikienda shirikisho maana yake ni timu ndogo, kwahiyo unataka kusema azam ni timu kubwa kuliko simba, kisa wameingia club bingwa au siyo
Hata hivyo ninyi si mlisema msimu huu mna timu tishio na hakuna timu yoyote africa ya kuwafunga matokeo yake mpaka sasa mnaburuza mkia, mechi mbili bila goli wala point halafu mnasingizia eti mko kwenye mashindano magumu mnacheza na timu ngumu, sasa wakati mnajitapa hamkujua kwamba huko kutakuwa na timu ngumu au mliingia bahati mbaya mkajikuta mmevamia mtumbwi wa vibwengo
Bado nasisitiza shirikisho ilistahili kuitwa loosers cup kipindi ambacho wanaofeli club bingwa wanaangukia shirikisho, yani maana yake wewe ni looser huko kwahiyo umeangukia huku ni tofauti na sasa hivi ambapo timu zinaenda shirikisho direct, sasa huoni hicho kitendo ni kama kuipa uzito hiyo michuano kwamba ijitegemee isisubiri mpaka wale waliofeli club bingwa ndio waangukie huko
Yupo huko, apate wapi akili ya kukumbuka hilo!!?Sijui ni kusahau au ni upotoshaji wa maksudi ila mleta mada atukumbushe matokeo ya mechi ya kwanza hatua ya makundi kati ya uto na monastir
Kwani huwa wanajificha?Wew utakuwa utopolo