SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle uliyoamua kuitumia, wakati huo huo kumbe kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia. Kuna msemo moja nimeusahau kuhusu takwimu nikiukumbuka nitauongeza.
Ni kweli Simba kafungwa mechi nne mfufulizo na Yanga ila technically Simba imemfunga Yanga msimu uliopita tu kwa hiyo tusifanya kama mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ni enzi na enzi. Kabla ya hizi 4 za mfululizo, Simba ilimfunga Yanga mara 2 mfululizo.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Yanga wazee wa propaganda walikuwa wanaimba takwimu kama hizi za mchongo mwaka jana ila ukienda kuangalia rekodi walizokuwa wanatamba nazo unakuta kuna sare kibao. Hizo ndiyo takwimu.
Tuwe makini na hawa viumbe, wanajua sana kukuza mambo nje ya uhalisia.