Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mzee akili Yako inamavi wewe ushindwe kuifunga yanga zigo uwaangushie wengine unajiona unaakili kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaangalia takwimu ndani ya uwanja. Yanga ni bora zaidi ya hiyo SImba yenu na kukufunga atujabahatisha ni ubora wa hali ya juu tulio kuwanao. Lakini pia tumewazoea kulalamika kwenuMwaka juzi mlikuwa na propaganda hizi hizi za kuwa Simba ni mbovu ila msimu ulivyoisha kila takwimu ilikuwa inaonyesha Simba ni bora kuliko hata Yanga, mkabaki kusema "hilo ndiyo kombe lenu"
Wewe ni msomi wa kitu gani? Na umejuaje kuwa wewe ni msomi?Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle unayoangalia, wakati huo huo kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia. Kuna msemo moja nimeusahau kuhusu takwimu nikiukumbuka nitauongeza.
Ni kweli Simba kafungwa mechi nne mfufullzo na Yanga ila technically Simba imemfunga Yanga msimu uliopita tu kwa hiyo tusifanya kama mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ni enzi na enzi. Kabla ya hizi 4 za mfululizo, Simba ilimfunga Yanga mara 2 mfululizo.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Yanga wazee wa propaganda walikuwa wanaimba takwimu kama hizi za mchongo mwaka jana ila ukienda kuangalia rekodi walizokuwa wanatamba nazo unakuta kuna sare kibao. Hizo ndiyo takwimu.
Tuwe makini na hawa viumbe, wanajua sana kukuza mambo nje ya uhalisia.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle unayoangalia, wakati huo huo kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia. Kuna msemo moja nimeusahau kuhusu takwimu nikiukumbuka nitauongeza.
Ni kweli Simba kafungwa mechi nne mfufullzo na Yanga ila technically Simba imemfunga Yanga msimu uliopita tu kwa hiyo tusifanya kama mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ni enzi na enzi. Kabla ya hizi 4 za mfululizo, Simba ilimfunga Yanga mara 2 mfululizo.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Yanga wazee wa propaganda walikuwa wanaimba takwimu kama hizi za mchongo mwaka jana ila ukienda kuangalia rekodi walizokuwa wanatamba nazo unakuta kuna sare kibao. Hizo ndiyo takwimu.
Tuwe makini na hawa viumbe, wanajua sana kukuza mambo nje ya uhalisia.
Kujitambua ni kufanyaje? Na umejuaje kuwa wewe unajitambua?Wasomi tunajitambua
Ikichomoka huwa mnairudisha ndani ninyi wenyewe, ndivyo simba juzi alichofanya.Kimoko chenyewe cha kusaidiwa na mpinzani hahahaaa