Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa

Mzee akili Yako inamavi wewe ushindwe kuifunga yanga zigo uwaangushie wengine unajiona unaakili kweli🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka juzi mlikuwa na propaganda hizi hizi za kuwa Simba ni mbovu ila msimu ulivyoisha kila takwimu ilikuwa inaonyesha Simba ni bora kuliko hata Yanga, mkabaki kusema "hilo ndiyo kombe lenu"
Tunaangalia takwimu ndani ya uwanja. Yanga ni bora zaidi ya hiyo SImba yenu na kukufunga atujabahatisha ni ubora wa hali ya juu tulio kuwanao. Lakini pia tumewazoea kulalamika kwenu
 
Tunaangalia takwimu ndani ya uwanja. Yanga ni bora zaidi ya hiyo SImba yenu na kukufunga atujabahatisha ni ubora wa hali ya juu tulio kuwanao. Lakini pia tumewazoea kulalamika kwenu
Kwani nani anatumia takwimu za nje ya uwanja?
 
Wewe ni msomi wa kitu gani? Na umejuaje kuwa wewe ni msomi?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…