Simba kufuru:Ngoma abugizwa 180m,kusaini mda wowote

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.

Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana Mohammed Dewji,na mda wowote atamwaga sahihi
 
Baada ya Ngoma mchukueni Chirwa, Bossou na Mkata umeme! Naona mmebadili sera yenu ya kusajili wavulana! Hamueleweki mnajenga, mnaimarisha au mnabomoa timu!
 
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.

Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana Mohammed Dewji,na mda wowote atamwaga sahihi
Define " muda wowote"
 
Hivi kweli tunaweza kuifufua simba kwa kununua wachezaji wazee waliochoka kutoka Yanga ?
Kwa kweli kikosi cha simba kilichopita kilihitaji uzoefu wa wachezaji wachache kimataifa kama Niyonzima, Kapombe na mwingine wa kimataifa, yaani kama wachezaji wanne tu!
 
Reactions: PNC
Kwa kweli kikosi cha simba kilichopita kilihitaji uzoefu wa wachezaji wachache kimataifa kama Niyonzima, Kapombe na mwingine wa kimataifa, yaani kama wachezaji wanne tu!
Sasa mkuu haya magarasa ukimuweka na John Boko kweli ndio ya kufufua Simba ?
 
Nadhani wengi wanasahau kwamba usajili huu wa sasa kwa timu ya Simba ni muelekeo wa mashindano makubwa ya Kimataifa, maana kwa hali hii tayari VPL msimu ujao ni kwa Simba tu, noway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…