Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi

Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na kuwa Simba hawapeleki timu kiwanja

Soma Pia: Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

Jioni ya Leo makomando wa Yanga wamezuia msafari wa mabasi 3 ya Simba kuingia uwanjani na kufanya mazoezi, wakihusisha kuwa Moja ya mabasi Yale kulikuwamo mbuzi hai hivo walisema Nia ya Simba ilikuwa sio kufanya mazoezi Bali kuroga

Tungoje kesho vituko
 
Kufanya mazoezi usiku kwanini jioni?

Je kanuni Inasemaje katika jambo hili!?
 
Kumekucha huku
20250308_015441.jpg
 
Back
Top Bottom