choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kama 2021 Yanga hawakukatwa point wala kushushwa daraja basi hata Simba wanajua haliwezi kutokea hivoTaarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi
Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na kuwa Simba hawapeleki timu kiwanja
Soma Pia: Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Jioni ya Leo makomando wa Yanga wamezuia msafari wa mabasi 3 ya Simba kuingia uwanjani na kufanya mazoezi, wakihusisha kuwa Moja ya mabasi Yale kulikuwamo mbuzi hai hivo walisema Nia ya Simba ilikuwa sio kufanya mazoezi Bali kuroga
Tungoje kesho vituko
NB: Simba na Yanga wanasheria zao tofauti na kina kagera namungo nk kupitia kivuli cha " busara kutumika"