Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

Kama 2021 Yanga hawakukatwa point wala kushushwa daraja basi hata Simba wanajua haliwezi kutokea hivo

NB: Simba na Yanga wanasheria zao tofauti na kina kagera namungo nk kupitia kivuli cha " busara kutumika"
 
Yanga hawezi kukimbia mechi
 
Chama langu Simba Sports Club tusisusie mechi
 
Derby hii....kuna mtu anaogopa kivuli chake mpira kwapani mbiooooo
 
2021 walikimbia riadha au?
Yanga walifika muda wa mechi
Simba hakuwepo
Kanuni ilikuwa ratiba ya mechi itabadilishwa kabla ya saa 48 ya mchezo Makonda aliwapigia TFF wahairishe mechi na Yanga wakagoma
 
Hizi siasa zitaisha lini, propaganda za namna hii Simba mtaziacha lini, yaani derby ndo inawachachafya nmna hii na hapa mnakuja na gandas za kutudanganya mashabiki

Uongozi wa Simba ni Uboo uloshindwa kusimama mbele ya mrembo mkali kabsaa .
 
..na mremvo hiyo ni.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…