Kwa hilo hakuna ubishi. Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwaoUkiachana na hicho kisichowezekana. Jambo la kujivunia hapa ni kuwa tayari imeshaonekana Brand ya Simba ni kubwa na imewavutia watu wa nchi nyingine.
Gsm hana tatizo kujitangaza kupitia Simba... Wanaomponza ni hao watu wa Yanga kutaka kujinasibisha kuwa gsm ni mali ya yanga.... Hilo tu ndio kasoro.Na ndio sababu iliyomfanya GSM naenae ajishikize kwa mgongo wa TFF ili afaidike na brand za timu nyingine, vinginevyo angedhamini ligi ya madaraja ya chini.
Sio kweli.Gsm hana tatizo kujitangaza kupitia Simba... Wanaomponza ni hao watu wa Yanga kutaka kujinasibisha kuwa gsm ni mali ya yanga.... Hilo tu ndio kasoro.
Labda waende Zambia maana wana mvuto kuliko Burundi.
Ubingwa kwa mwaka huu unaenda Jangwani. G*M kashaweka mzigo mezani, Waamuzi hawana njaa tena
Ndio, Yanga itakuwa Bingwa mwaka huu. Na asipokuwa Bingwa waulizwe G*M imekuwaje wakose ubingwa?.Ubingwa uende Utopoloni tena?
Kwahio Tanzania tuna hamu TP Mazembe, Al Ahl ziwe za kwetu? hivi huu ujinga hua mnautoa wapi?Kwa hilo hakuna ubishi. Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao
Aliua move ngapi?Ndio, Yanga itakuwa Bingwa mwaka huu. Na asipokuwa Bingwa waulizwe G*M imekuwaje wakose ubingwa?.
We hukumuona Elli Sasii jana alivyokuwa anaua move za Simba kwenda kupata goli?. Pia hata bila ya mbeleko Yanga timu wanayo msimu huu na wanaweza kufanikiwa malengo yao.
Tumia akili basi. Kuna mahali al ahli na Mazembe wametajwa?Kwahio Tanzania tuna hamu TP Mazembe, Al Ahl ziwe za kwetu? hivi huu ujinga hua mnautoa wapi?
Hao ndo Simba ya Moo Mkuu.. wanamawazo yasiyowezekana..Kwahio Tanzania tuna hamu TP Mazembe, Al Ahl ziwe za kwetu? hivi huu ujinga hua mnautoa wapi?
Katika milioni 600 wanayopata simba kuna mgao wa tffUnadhani kuna timu inaipa mapato TFF zaidi ya Simba hadi useme uliyoyasema?
Mudi kilimshinda nini kuidhamini African Lyon na singida united. ?Na ndio sababu iliyomfanya GSM naenae ajishikize kwa mgongo wa TFF ili afaidike na brand za timu nyingine, vinginevyo angedhamini ligi ya madaraja ya chini.
Jibu lipo kwenye comment hiiKama kiongozi wao ndo huyu mbumbumbu na juha asiyejua lolote haswa akinywa wanzuki.
Vipi mashabiki wenyewe kina OKW BOBAN SUNZU, Nyamizi Scars...
Si ni uozo kabisa kabisa?