Simba kuhama nchi?

Simba kuhama nchi?

Ukiachana na hicho kisichowezekana. Jambo la kujivunia hapa ni kuwa tayari imeshaonekana Brand ya Simba ni kubwa na imewavutia watu wa nchi nyingine.
Kwa hilo hakuna ubishi. Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao
 
Kwa hilo hakuna ubishi. Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao
Na ndio sababu iliyomfanya GSM naenae ajishikize kwa mgongo wa TFF ili afaidike na brand za timu nyingine, vinginevyo angedhamini ligi ya madaraja ya chini.
 
Na ndio sababu iliyomfanya GSM naenae ajishikize kwa mgongo wa TFF ili afaidike na brand za timu nyingine, vinginevyo angedhamini ligi ya madaraja ya chini.
Gsm hana tatizo kujitangaza kupitia Simba... Wanaomponza ni hao watu wa Yanga kutaka kujinasibisha kuwa gsm ni mali ya yanga.... Hilo tu ndio kasoro.
 
Soka la Tanzania linahama kutoka kwenye utani wa jadi taratiibu. Mambo yasipotunzwa tunaelekea kwenye uadui soon
 
Gsm hana tatizo kujitangaza kupitia Simba... Wanaomponza ni hao watu wa Yanga kutaka kujinasibisha kuwa gsm ni mali ya yanga.... Hilo tu ndio kasoro.
Sio kweli.
GSM alianza kujiatach kwa kujitangaza kupitia kwa Haji Manara tangu alivyokuwa msemaji wa Simba. Baada ya Simba kumtoa Haji, ameingilia mlango wa TFF.

Kwa nini asidhamini ligi daraja la kwanza? (Champions) kama kuna mvuto?
 
Labda waende Zambia maana wana mvuto kuliko Burundi.

Ubingwa kwa mwaka huu unaenda Jangwani. G*M kashaweka mzigo mezani, Waamuzi hawana njaa tena

Ubingwa uende Utopoloni tena?
 
Ubingwa uende Utopoloni tena?
Ndio, Yanga itakuwa Bingwa mwaka huu. Na asipokuwa Bingwa waulizwe G*M imekuwaje wakose ubingwa?.

We hukumuona Elli Sasii jana alivyokuwa anaua move za Simba kwenda kupata goli?. Pia hata bila ya mbeleko Yanga timu wanayo msimu huu na wanaweza kufanikiwa malengo yao.
 
Aliua move ngapi?
 
Na ndio sababu iliyomfanya GSM naenae ajishikize kwa mgongo wa TFF ili afaidike na brand za timu nyingine, vinginevyo angedhamini ligi ya madaraja ya chini.
Mudi kilimshinda nini kuidhamini African Lyon na singida united. ?

Nini kilimleta simba?
 
Jina lenyewe tu mangungu!!! Ata sishangai maana jina lake limebeba uwezo wake wa kufikiri
 
SIMBA ni timu ndogo tu kama Gwambina......hawana jeuli hiyo
 
Kama kiongozi wao ndo huyu mbumbumbu na juha asiyejua lolote haswa akinywa wanzuki.

Vipi mashabiki wenyewe kina OKW BOBAN SUNZU, Nyamizi Scars...

Si ni uozo kabisa kabisa?
Jibu lipo kwenye comment hii

Back
Top Bottom