Simba kuhama nchi?

Luc hakukosea, tulishampiga As vita nje ndani, tupe ya kwako
 
TFF ya Burundi mtupokee.Ntibazonkiza atatufundisha kirundi kwa malipo.
tunahama na nyasi za bunju atuachi kitu.
 
Wakihama nchi haitakuwa Simba tena..... Huyo aliyesema hayo ni mpuuzi. Simba itabaki Tanzania na washabiki tutaendelea kuwa sisi.
Mzee mambo haya mbona yapo duniani. Umelala usingizi.

 
Simba ndio wahuni ambao H. Polepole anawazungumzia
 
Unadhani kuna timu inaipa mapato TFF zaidi ya Simba hadi useme uliyoyasema?
Kwa ushahidi upi? Wakati takwimu za msimu uliopita timu iliyoingiza mashaki wengi uwanjani ni Yanga na hata kuchangia Mapato mengi kwa serikali kutokana na kodi na tozo mbalimbali.
 
Nendeni tu huko Burundi au *Zambia mtakavyotaka. Yaani kiongozi wenu Ni mbumbumbu kweli. Basi aimishe timu Kama Ana ubavu. Mtabaki hapahapa na tutawakamua tu Kama kawa.
 
Wewe huna akili unadhani hio milage wanayo pata Simba hapa Tz wakienda huko Zambia watakua na hao fans au ni kuvimba mabega tu
Ndio maana nikasema tumia akili. Mie nilichoandika ni kuwa haiwezekani Simba kuhama nchi... Sasa habari ya mazembe sijui unaileta ya nini.
 
Ndio maana nikasema tumia akili. Mie nilichoandika ni kuwa haiwezekani Simba kuhama nchi... Sasa habari ya mazembe sijui unaileta ya nini.
Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao" una maana gani labda?
 
Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao" una maana gani labda?
Kutamani haimaanishi kuwa ndio kuhama.
Ninkawaida ya mwanadamu kutamani vitu vizuri hususani asivyoweza kuvipata.
Tanzania tunatamani kuchukia kombe la dunia lakini haimaanishi tutaletewa tu na kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…