Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Pimbi yule bi cha ubayaBarbara amezoea kufanya mambo kienyeji huko Simba, alidhani na TFF wana story kuwa mchepuko wa boss hauulizwi chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pimbi yule bi cha ubayaBarbara amezoea kufanya mambo kienyeji huko Simba, alidhani na TFF wana story kuwa mchepuko wa boss hauulizwi chochote.
Luc hakukosea, tulishampiga As vita nje ndani, tupe ya kwakoWahamie humo ili angalau uhuni kwenye michezo upungue. Simba hana jeuri wala uwezo huo, huyu ukimtoa nje ya Tanzania ni sawa na samaki umemtoa kwenye maji.
Hapo wameanza mind game, wanajua TFF lazima ichukue hatua dhidi ya genge linaliloingoza Simba, hivyo wanaanza kujionyesha kama wanahitajika sana, ukweli ni kuwa Simba ni over rated.
Mzee mambo haya mbona yapo duniani. Umelala usingizi.Wakihama nchi haitakuwa Simba tena..... Huyo aliyesema hayo ni mpuuzi. Simba itabaki Tanzania na washabiki tutaendelea kuwa sisi.
acha umbumbumbu, ya AS VITA yametoka wapi kwenye hoja yangu ?Luc hakukosea, tulishampiga As vita nje ndani, tupe ya kwako
Wewe huna akili unadhani hio milage wanayo pata Simba hapa Tz wakienda huko Zambia watakua na hao fans au ni kuvimba mabega tuTumia akili basi. Kuna mahali al ahli na Mazembe wametajwa?
Mapato gani unaozungumzia mkuu?Unadhani kuna timu inaipa mapato TFF zaidi ya Simba hadi useme uliyoyasema?
Kwa ushahidi upi? Wakati takwimu za msimu uliopita timu iliyoingiza mashaki wengi uwanjani ni Yanga na hata kuchangia Mapato mengi kwa serikali kutokana na kodi na tozo mbalimbali.Unadhani kuna timu inaipa mapato TFF zaidi ya Simba hadi useme uliyoyasema?
Ndio maana nikasema tumia akili. Mie nilichoandika ni kuwa haiwezekani Simba kuhama nchi... Sasa habari ya mazembe sijui unaileta ya nini.Wewe huna akili unadhani hio milage wanayo pata Simba hapa Tz wakienda huko Zambia watakua na hao fans au ni kuvimba mabega tu
Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao" una maana gani labda?Ndio maana nikasema tumia akili. Mie nilichoandika ni kuwa haiwezekani Simba kuhama nchi... Sasa habari ya mazembe sijui unaileta ya nini.
Pole kwa kupunguzwa upepo wa shombo la maandishi. Wakikufungulia niite tunywe biaa biiaa tamu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Bila simba tff vitambi vitapukutika
Kutamani haimaanishi kuwa ndio kuhama.Nchi nyingi zinatamani Simba ingekuwa kwao" una maana gani labda?