SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kuna mapungufu na makosa yalifanyika kwenye kujiandaa na game ile. Kuanzia walivyopita airport na hayo mafataki (kama walikuja nayo kwa njia hiyo) hadi kuingia nayo uwanjani. Wangefanyiwa ukaguzi simple tu yale makitu wasingekuwa nayo ndani ya uwanja.Kosa la polisi hapo, tunajua kwa mujibu wa taratibu za kimichezo siruhusa vyombo vya ulinzi kuingia ktk 3neo linalochezewa lkn kule kwa mashabiki jeshi lina mamlaka ya kuwalong'ota wafanya fujo
Tukumbuke waliyawasha wakati Simba wako wamoto na walikuwa wanaweza pata goli la pili muda wowote.