Kuna mapungufu na makosa yalifanyika kwenye kujiandaa na game ile. Kuanzia walivyopita airport na hayo mafataki (kama walikuja nayo kwa njia hiyo) hadi kuingia nayo uwanjani. Wangefanyiwa ukaguzi simple tu yale makitu wasingekuwa nayo ndani ya uwanja.Kosa la polisi hapo, tunajua kwa mujibu wa taratibu za kimichezo siruhusa vyombo vya ulinzi kuingia ktk 3neo linalochezewa lkn kule kwa mashabiki jeshi lina mamlaka ya kuwalong'ota wafanya fujo
Ilikua mwaka gani kaka?Makolo walishawahi kupata ushindi wa mezani dhidi ya Tp Mazembe, sasa wamenogewa wanataka kupitia dirishani tena.
Jifunzeni kwa Yanga jinsi ya kushinda away games.
Kwenye mpira hakuna janja janja ya kupita bila kupingwa, nendeni Morocco mkachezee kichapo heavy duty
Hicho kichapo mtawapa labda ndotoniNa tukiwapa kichapo cha panya buku utasemaje? Tubet?
nI UTO ndio waliofukiza ule moshiKama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani huwa ni utamaduni.
Je, hii inamaanisha uoga au? Dondosha lako tuichambue.
Hicho kichapo mtawapa labda ndotoni
Ww kwa mtazamo wako Je CAF wataweza kuwa ambia lolote hao Wydad A.C ? CAF ni wasela sana kikundi cha waarabu toka North ndio.wana run. AfricaKuna mapungufu na makosa yalifanyika kwenye kujiandaa na game ile. Kuanzia walivyopita airport na hayo mafataki (kama walikuja nayo kwa njia hiyo) hadi kuingia nayo uwanjani. Wangefanyiwa ukaguzi simple tu yale makitu wasingekuwa nayo ndani ya uwanja.
Tukumbuke waliyawasha wakati Simba wako wamoto na walikuwa wanaweza pata goli la pili muda wowote.
Ilikuwa mwaka 2011, Simba walicheza dhidi ya Tp Mazembe na Mazembe wakapata ushindi, Mazembe walimchezesha Janvier Bokungu kimakosa kwa hiyo Simba wakakata rufaa, CAF wakaiondoa Mazembe mashindanoni na Simba wakapewa ushindi wa mezani, wakapangwa kucheza mechi moja ya uwanja huru dhidi ya Wydad Casablanca. Matokeo yalikuwa Simba kufungwa 3 kwa 0. Baada ya hapo Simba akaangukia shirikisho akapanga na DC Motema Pembe huko nako akapigwa kama ngoma na hatimaye kuaga michuano yote ya CAF.Ilikua mwaka gani kaka?
🙏Haaah sikujua mkubwa!!! Kipindi hiko nlikuwa kijijini huko nachunga ndamaIlikuwa mwaka 2011, Simba walicheza dhidi ya Tp Mazembe na Mazembe wakapata ushindi, Mazembe walimchezesha Janvier Bokungu kimakosa kwa hiyo Simba wakakata rufaa, CAF wakaiondoa Mazembe mashindanoni na Simba wakapewa ushindi wa mezani, wakapangwa kucheza mechi moja ya uwanja huru dhidi ya Wydad Casablanca. Matokeo yalikuwa Simba kufungwa 3 kwa 0. Baada ya hapo Simba akaangukia shirikisho akapanga na DC Motema Pembe huko nako akapigwa kama ngoma na hatimaye kuaga michuano yote ya CAF.
Hayo mashtaka ndiyo yatawaepusha na kipigo cha mbwa mwizi, mwishoni mwa wiki hii? Au mnafikiri kuna pointi za bure ili kuingia hatua ya nusu fainali?Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani huwa ni utamaduni.
Je, hii inamaanisha uoga au? Dondosha lako tuichambue.