Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Jiulizeni Tambwe,Ngoma,Kamusoko wangekuwa vizuri?Hivi Simba walipata shot on target zaidi ya goli la Kichuya
Wengine wanasema Mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa barabara ya mbagala ilikuwa barabara mojaWatu bwana, eti mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba mabasi ya mwendokasi yalikuwa hayajaanza kazi
Kwahyo turudi taifa mkapige penati?Sio kukata rufaa kwa ajili ya goli, bali kwa ajili ya ule mkono wa Yondani ile ni penati iliyo wazi.
Tafuta video za azam tv zinaonyesha.
Aisha manula wamuongezee hata mshahara kawaokoa Sana Jana magori ya waz kama matatu hv kaokoaSafari hii Yanga kuweni Fair jamani, Waachieni mikia ubingwa maana wametumia mipesa mingi sana kusajili kikosi ambacho hata hivyo kinahitaji huruma yenu.
Jana Yanga imepiga mashuti ya hatari zaidi ya manne dhidi ya moja la Mikia. Laiti kama isingekuwa umakini wa Aishi Manula, huenda leo Omog angekuwa Airport
Aisha manula wamuongezee hata mshahara kawaokoa Sana Jana magori ya waz kama matatu hv kaokoa
Ahahaaaaa duh bahat yenu sana mezan fcmzee wa misukule usiku huu imeamka nini misukule yako.
View attachment 619594
Pia hawa wanafunzi wanaoanza mitihani ya kumaliza shule (form four) toka wameanza kidato cha kwanza hawajawahi shuhudia wala kusikia simba bingwa.Na mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa Rais alikuwa ni Jakaya Kikwete. Sasa Magufuli anaelekea mwaka wa tatu.
Wanasubiri JPM amalize muda wake
Hii sababu tosha ya kwenda FIFA mkikosa ubingwa tena.Yaan pamoja na volleyball aliyocheza yondan bado mnapiga kelele tu?!!
Kijitimu kidogo ambacho ni bingwa Mara Tatu tunashukuru kutoa draw na timu kubwa ambayo ni msimu WA nne mfululizo ubingwa wanausikia tu.tunashukuru Sana kwakwel sisi kitimu kidogo bingwa mtetezUnaposifu Ushujaa Wa Kipa Pia Usisahau Kuuangalia na Uzembe Wa Wafungaji Wenu....
Wafungaji Wenu Wangelikua Makini, Basi Ushujaa Wa Kipa Usingelionekana Kwani Wamgelifunga..
Lakini Kwa Vile Wafungaji Wenu Walikuwa Wazembe, Ndiyo Manula Kawa Shujaa...
By the Way! Sisi Tunahuzunika Kwa Kukosa Points 3 kwa Kijitimu Kidogo Kama [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG], Nyinyi Furahini Kwa Kutoka Sare na Timu Kubwa Kama Simba SC.
Wewe ni tondoAman iwe nanyi wapendwa
Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea
Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa
LONDON BABY
Tayari manara kapeleka malalamiko TFF nadhani na rufaa ndani yake humohumo.yaani timu kubwa kulalamikalalamika kama wako kwenye mashindano ya mchangani balaa
Hapa sasa tunaenda sawa.Aman iwe nanyi wapendwa
Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea
Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa
LONDON BABY
Ni mbinu za Manara kuwandaa mbumbumbu wao kisaikolojia maana wanajua hakuna ubingwa.
Wameanza kujenga dhana kwamba wanaonewa sana.
Msimu Uliopita lawama zote ilikuwa Malinzi ni Yanga. Sasa pale TFF, Rais na Makamu wake ni wanachama wa Simba.
Au Karia na Wambura wamehamia Yanga