Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Jiulizeni Tambwe,Ngoma,Kamusoko wangekuwa vizuri?Hivi Simba walipata shot on target zaidi ya goli la Kichuya
Kwani Hile Last Season Tulipokuwa Pungufu na Tukawalamba Goli 2 kwa Kamoja Yenu Hawa Tambwe na Saumu Soko Hawakuwemo??
Acha Kuweweseka na Draw wewe!!!