Simba kukosa nyota wanne kwenye mchezo dhidi ya AS Vita

Simba kukosa nyota wanne kwenye mchezo dhidi ya AS Vita

1998 ndio Mara ya mwisho Yanga kushiriki hatua hii ya makundi ambayo Simba ipo. Ili kujua kuwa 1998 ni mbali au karibu ,hebu kumbuka ulikuwa level gani ya elimu au mwanao alikuwa level gani.
Ndio maana wanaona wivu balaa
 
Kwa taarifa zilizopo ktk uchambuzi kuelekea Mechi hii ni kuwa, wale wachezaji walioifunga Simba 5-0, kwenye kile kikosi cha kwanza, wachezaji 10 hawapo mpaka sasa.

AS Vita itaingia uwanjani ikiwa na Morale tu ya ushindi, hawategemei experienc ya kikosi chao kuwasaidia.

Endapo AS Vita ina akina Tuisila Kisinda kule mbele, tutegemee msiba mwingine kwa Simba.

Endapo Vita wakamueka kwapana Luis Miqson, basi wameikamata Simba yote. Yule chama hanaga maajabu dimba la ugenini. Wakikamata huyu mtu wameishika Simba.

So far, Simba akiacha figisu zake, kwa Game za Hapa Dar anapoteza zote 3. AS Vita na El Merekh wao wanatazama Point 6 kwa Simba, na ni kitu kinachowezekana kabisa.

Simba ina kikosi kizuri mno ila kwa mbeleko inazofanyiwa ndo imefanya kudumaza kikosi, ni kama mtoto mwenye akili darasani ila muda wa mtihan ukamsaidia majibu au kumpa maswali yanayoweza yakatoka, ni kumdumaza.

Hii Simba ingekuwa haibebwi hapa TZ kwa maslahi ya mabosi, naamini kabisa ingeweza kuwapiga Vita nje ndani, hata apa Taifa wangempga Msudani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1998 ndio Mara ya mwisho Yanga kushiriki hatua hii ya makundi ambayo Simba ipo. Ili kujua kuwa 1998 ni mbali au karibu ,hebu kumbuka ulikuwa level gani ya elimu au mwanao alikuwa level gani.
Na Rais wa nchi hii alikuwa nani.. Bila kusahau Rais wa sasa kipindi hicho alikuwa na cheo gani
 
Yanga tulieni jikoni mkate vitunguu.
Simba ni Baba lao kaenda kazini kupambana. Akifuzu na nyinyi mtashiriki mwakani kupitia viti maalum vya kinamama.
 
FT As Vita 0 Simba 1, point 3 za ugenini, je una hoja ya nyongeza eeh Kidimbwi?
Apate wapi kaenda kujiliwaza na mipombe michafu. Uto tumewafanya kitu mbaya sana yaani kimyaaaaaa
IMG-20210213-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom