Kwa taarifa zilizopo ktk uchambuzi kuelekea Mechi hii ni kuwa, wale wachezaji walioifunga Simba 5-0, kwenye kile kikosi cha kwanza, wachezaji 10 hawapo mpaka sasa.
AS Vita itaingia uwanjani ikiwa na Morale tu ya ushindi, hawategemei experienc ya kikosi chao kuwasaidia.
Endapo AS Vita ina akina Tuisila Kisinda kule mbele, tutegemee msiba mwingine kwa Simba.
Endapo Vita wakamueka kwapana Luis Miqson, basi wameikamata Simba yote. Yule chama hanaga maajabu dimba la ugenini. Wakikamata huyu mtu wameishika Simba.
So far, Simba akiacha figisu zake, kwa Game za Hapa Dar anapoteza zote 3. AS Vita na El Merekh wao wanatazama Point 6 kwa Simba, na ni kitu kinachowezekana kabisa.
Simba ina kikosi kizuri mno ila kwa mbeleko inazofanyiwa ndo imefanya kudumaza kikosi, ni kama mtoto mwenye akili darasani ila muda wa mtihan ukamsaidia majibu au kumpa maswali yanayoweza yakatoka, ni kumdumaza.
Hii Simba ingekuwa haibebwi hapa TZ kwa maslahi ya mabosi, naamini kabisa ingeweza kuwapiga Vita nje ndani, hata apa Taifa wangempga Msudani.
Sent using
Jamii Forums mobile app