Simba kukosa ubingwa yawezekana ni mgomo baridi

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Ukimsikiliza Bernard Morrison unaona kabisa Simba kuna kitu chini ya kapeti kinaendelea ndio maana bwalya kauzwa. Me nafikiri kama mchezaj mmeshindwana mkataba muachane kiroho safi. Kama ni kweli aliyoyasema BM3 basi simba kuna tatizo kubwa hv unampunguziaje mtu mshahara. Bora kumkata mshahara kama kakosea. Simba tujipange harafu mbona sasa hv hela ipo kama MO anazingua tuachane naye.

Yanga waliingia mkataba na azam wakapewa 40b kwa miaka 10 na wamesema lakini simba kuna mtu anajua chochote.


SIMBA TUBADILIKE TUISHI NA WATU PROFESSIONAL TUACHE KUONEA WATU
 
Simba walishindwa kusema ukweli kuhusu sakata la BM.BM mwenyewe kafunguka watu wanaenda na alichosema Efue.
uwenda alichosema BM kikamuibua kiongozi yeyote wa Simba ili ukweli waliouficha ujulikane.
 
Makolo ni Makolo tu wacha muteseke na Dunia iwanyooshe...
Wanaume wa nchi wako Arusha wanakula upepo mwanana kujiandaa na gemu ya kimataifa.. nyie si bado mko Songea unafyonza uroto wa bata🤣🤣
 
Acha wafu wazikane wenyew
 
Yani kwa miaka 10 ijayo upewe b 40? Uuze haki zako zote za matangazo hivi unajua ni kiasi gani content za hizi timu zina pesa mingi?
 
Simba kwa sasa siyo timu tishio tena kama ilivyokuwa enzi zile za akina Konde Boy.
 
jungu la kufungwa na YASC na kuona goli la feisal halidakiki!
 
Hizo pesa wamechkua ila hawatangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…