stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
TESANA FC 6 - 2 MAKOLO FCImetolewa na:-
Idara ya Habari na Mawasiliano, Simba Sports Club.
Julai 23, 2024
Nakala ziwafikie :
Kalpana
Scars
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TESANA FC 6 - 2 MAKOLO FCImetolewa na:-
Idara ya Habari na Mawasiliano, Simba Sports Club.
Julai 23, 2024
Familia yake ipo huko kitambo sana ajaanza jana kwenda kwa Trump..Atarudi kapauka kabakia rasta 2😃😃😃
Una uhakika gani kama amenizidi vingi?Unamvunjia heshima huyo ostadh amekuzidi vingi mno kwenye football
Unajulikana kwa comment zako kuwa wewe haujui mpira umeanza kufuatilia mpira mara baada ya kupata smartphone,watu wa mpira tunajuana kwa lugha zetuUna uhakika gani kama amenizidi vingi?
Kama unamfahamu yeye kwa alivyonavyo na bado hunifahamu mimi ninavyovifahamu utakujaje na hitimisho kwamba kanizidi vingi kwenye football mkuu?
Ukimsikiliza Wakala wa Kibu Denis Prosper anayeitwa Carlos utagundua kuwa anachofanya Kibu ni kama kulipiza kisasi yale aliyofanyiwa yeye pamoja na Wakala wake.Watetezi wa Kibu D karibuni kwa maoni.
Hizi Timu za Kariakoo shida sana. Jana ilikuwa Mzee Magoma leo Kibu D. Yaani kuimba kupokezana ndio mpango mzima.Kibu anatikisa ili aambiwe arudishe hela lakini simba wasimwambie hivyo.
Hayo ni mambo ya utovu wa nidhamu wala hayapaswi kua taarifa kwa umma.Hicho kitengo cha habari nikama hakina kazi ndio maana wanakuza mambo madogo kama haya.Ziko stage mchezaji akifika ndio unaweza kutoka nakusema.Mengine yanarekebishwa ndani kwanza.ili kutokuleta taswira mbaya ya mchezaji kwa mashabiki.Mkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.
Watu kama nyinyi hamueleweki mnachotaka.
Simba wamefanya jambo zuri kuutarifu umma kwakuwa timu ni ya wanachama na mashabiki sio ya viongozi pekee.
Hizi club haziendeshwi kama taasisi ndo maana mambo yanakua ovyo ovyo na uswahili mwingi.Ushawahi sikia wapi madrid,arsenal man u, wakapiga mchezaji mkwara, ni ukifanya nyoko unakula chuma, hivi ni kuendekeza upumbavu, sisi hatuhitaji kujua juhudi zao, watuoneshe walivyo strict kwa uzembe na upuuzi.
Kwahiyo umesoma heading pekee huko kwenye contents ukawaachia wengine wasome?Hayo ni mambo ya utovu wa nidhamu wala hayapaswi kua taarifa kwa umma.Hicho kitengo cha habari nikama hakina kazi ndio maana wanakuza mambo madogo kama haya.Ziko stage mchezaji akifika ndio unaweza kutoka nakusema.Mengine yanarekebishwa ndani kwanza.ili kutokuleta taswira mbaya ya mchezaji kwa mashabiki.
Achana nao hao ndo wa kwanza kuja kusema hapa ooh mbona club ipo kimya mara ooho mbona mambo yanaenda bila kufahamishwa umma...sasa sisi ndo mashabiki na tunatakiwa kujua kinachoendelea club yenye weledi imefanya kama inavyotakiwa..Kwahiyo umesoma heading pekee huko kwenye contents ukawaachia wengine wasome?
Imeelezwa wazi kwamba jihudi nyingi zimefanywa na klabu kumsisitiza aripoti kambini lakini hazijazaa matunda.
Unadhani Simba ni taasisi ya kimagumashi ikurupuke kutoa taarifa kwa umma pasipo kufuata taratibu za ndani?
Sisi mashabiki tumeipongeza klabu kwa kuweka mambo wazi na kuondoa sintofahamu iliyokuwa inaendelea.
Sahihi kabisa mkuu.Achana nao hao ndo wa kwanza kuja kusema hapa ooh mbona club ipo kimya mara ooho mbona mambo yanaenda bila kufahamishwa umma...sasa sisi ndo mashabiki na tunatakiwa kujua kinachoendelea club yenye weledi imefanya kama inavyotakiwa..