Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
Nyie si mlikuwa kwenye mashindano ya CUF Champion league?
Nini kilichowafanya mshindwe mpaka uzungumzie Simba awe Yanga?
Acheni kucheza mpira mdomoni. Wewe ushindwe na aliyeshinda uonee wewe una nafasi zaidi kuliko aliyeshinda.
Baghosha. Yelewiiiii
 
Kazi unayo Kila siku kulalamika tu kuhusu Mnyama haya ushauri wa Bure huo
 
Wewe mpuuzi Utopolo huyo huyo aliyefungwa mara 2 mfululizo na Ihefu au kuna nyingine?
 
Usijali yanga atakutana na al ahly tena mara mbili so nafasi ya kumfunga bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…