Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
Nyie si mlikuwa kwenye mashindano ya CUF Champion league?Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
Hakuna timu iliyoteuliwa boss. Ni juhudi yako kucheza CUF Champion League mpaka robo fainal hicho ndicho kigezo kiongozi.Timu chache ziliteuliwa
Kazi unayo Kila siku kulalamika tu kuhusu Mnyama haya ushauri wa Bure huoUchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al Ahly.
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga max mzengeli yao.
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa.
NB: Kama utam betia kolo, basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puli.
View attachment 2739720
Bila kuwa na kikosi Cha Yanga.....kolo hatoboiKazi unayo Kila siku kulalamika tu kuhusu Mnyama haya ushauri wa Bure huoView attachment 2783955