mjini lamsingi ni connection tu unaweza ukawa hata muhasibu bank wakati hata banking hujui maana yake nn!!!!Hayo ndiyo matatizo ya kuweka vilaza kwenye nafasi ya usemaji
pira sambusa lipo yanga mkuu usijidanganye kabisaNilimkataa toka mwanzo, ni ujuha kujipa mamlaka ya kusema eti nani aingie na nani asiingie, ile ni for public consumption.
Labda anunue tickets zote 30,000 awagawie anaotaka waingie, ila si kutoa tamko la kuzuia washabiki wa Yanga.
BTW, Yanga hawaja shiriki Klabu Bingwa, waache waje wainjoi ushiriki kwa kuangalia kaka zao Simba wanavyo wawakilisha. Kwa nini tuwanyime wenzetu kuona pira biriani likitandazwa na kuwaondoa wa Nigeria!
pira sambusa lipo yanga mkuu usijidanganye kabisa
Mtani ndo muachage kuweka viongozi M b u m b u m b u. TehNilimkataa toka mwanzo, ni ujuha kujipa mamlaka ya kusema eti nani aingie na nani asiingie, ile ni for public consumption.
Kitu ambacho hakiwezekani Mtani.Labda anunue tickets zote 30,000 awagawie anaotaka waingie, ila si kutoa tamko la kuzuia washabiki wa Yanga.
Hili pira biriani lilishachacha tangia Ligi kuu na ndio sababu hata huko Naijeria ni Mungu tu ndo alisaidia kupata hilo goli moja ambalo huwa mnadharau akifunga Yanga TPL.BTW, Yanga hawaja shiriki Klabu Bingwa, waache waje wainjoi ushiriki kwa kuangalia kaka zao Simba wanavyo wawakilisha. Kwa nini tuwanyime wenzetu kuona pira biriani likitandazwa na kuwaondoa wa Nigeria!
Hii ndio style yetu. Unataka kila kitu tuige toka ulaya ?Kuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
Ila nashangaa mashabiki wa humu ndo mnamkataa Manara wakati kuna clip kibao za wenzenu wanamsupport kwa kusema kwamba hiyo siku ni ya red and white na bila kuvaa hivyo hamna mtu kuingia Uwanjani.ameharibu sana ule sio ujanja tena maana mhhh kusema wanayanga hamtakiwi dohh..aya ataenda pekeyake basi
Mtani ndo muachage kuweka viongozi M b u m b u m b u. Teh
Hili pira biriani lilishachacha tangia Ligi kuu na ndio sababu hata huko Naijeria ni Mungu tu ndo alisaidia kupata hilo goli moja ambalo huwa mnadharau akifunga Yanga TPL.
Ni kawaida, si ni mwanamme wa Dar huyu, umbea na kukata mauno wakati wa kutembea ni kazi yao.Mimi ni mwanasimba haswaa,uongozi umefanya vzr kumkataa hadharani.
Tatizo Manara ni mropokaji sana.