Simba kumkataa Manara sijaona kama imekaa poa

Simba kumkataa Manara sijaona kama imekaa poa

Nilimkataa toka mwanzo, ni ujuha kujipa mamlaka ya kusema eti nani aingie na nani asiingie, ile ni for public consumption.

Labda anunue tickets zote 30,000 awagawie anaotaka waingie, ila si kutoa tamko la kuzuia washabiki wa Yanga.

BTW, Yanga hawaja shiriki Klabu Bingwa, waache waje wainjoi ushiriki kwa kuangalia kaka zao Simba wanavyo wawakilisha. Kwa nini tuwanyime wenzetu kuona pira biriani likitandazwa na kuwaondoa wa Nigeria!
pira sambusa lipo yanga mkuu usijidanganye kabisa
 
anatakiwa afike sehemu akue tu mengne sio mpaka kwenda darasani jamani tutawasumbua waalimu tu..ajue kuwa ubaguzi una gharama kubwa
 
Nilimkataa toka mwanzo, ni ujuha kujipa mamlaka ya kusema eti nani aingie na nani asiingie, ile ni for public consumption.
Mtani ndo muachage kuweka viongozi M b u m b u m b u. Teh
Labda anunue tickets zote 30,000 awagawie anaotaka waingie, ila si kutoa tamko la kuzuia washabiki wa Yanga.
Kitu ambacho hakiwezekani Mtani.
BTW, Yanga hawaja shiriki Klabu Bingwa, waache waje wainjoi ushiriki kwa kuangalia kaka zao Simba wanavyo wawakilisha. Kwa nini tuwanyime wenzetu kuona pira biriani likitandazwa na kuwaondoa wa Nigeria!
Hili pira biriani lilishachacha tangia Ligi kuu na ndio sababu hata huko Naijeria ni Mungu tu ndo alisaidia kupata hilo goli moja ambalo huwa mnadharau akifunga Yanga TPL.
 
Kuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
Hii ndio style yetu. Unataka kila kitu tuige toka ulaya ?
 
ameharibu sana ule sio ujanja tena maana mhhh kusema wanayanga hamtakiwi dohh..aya ataenda pekeyake basi
Ila nashangaa mashabiki wa humu ndo mnamkataa Manara wakati kuna clip kibao za wenzenu wanamsupport kwa kusema kwamba hiyo siku ni ya red and white na bila kuvaa hivyo hamna mtu kuingia Uwanjani.
 
Muda mrefu walitaka kumtema na kumuweka Gift Macha. Sasa muda umefika.
Haji hana weledi wala elimu ya kushika kile kitengo.
Timu ikiwa inacheza vizuri, mashabiki watakuja wenyewe uwanjani.
 
Mtani ndo muachage kuweka viongozi M b u m b u m b u. Teh

Ndo mpira wetu huu mtani, si unakumbuka hata nyie mlivyofanya tukio lililofanywa miaka hiyo enzi za utumwa!

Screenshot_20201204-105709~2.png

Hili pira biriani lilishachacha tangia Ligi kuu na ndio sababu hata huko Naijeria ni Mungu tu ndo alisaidia kupata hilo goli moja ambalo huwa mnadharau akifunga Yanga TPL.

Pira biriani limepelekwa hadi Nigeria Mtani, na fitna zote walizofanya lakini walipewa wakapokea.

Bao moja Ugenini ni sawa na mabao mawili ujue!
 
Lengo kubwa la Mo ni kumuondoa Haji Manara Simba SC, na kuleta mtu mwingine ila namna ya kumuondoa ndiyo bado anasuka mipango
 
Back
Top Bottom