Simba kumkataa Manara sijaona kama imekaa poa

Mimi ni mwanasimba haswaa,uongozi umefanya vzr kumkataa hadharani.

Tatizo Manara ni mropokaji sana.
We unajua ukweli wa mpira hakika. Nimependa ukweli wako katika hilo maana umeongea kimpira
 
huyo aliyeagiza kukanusha hana akili. kauli ya manala haikuwa na shida yeyote. kwangu ilikuwa hamasa

Hamasa inayoweza kuleta machafuko, kwa akili za washabiki wa Simba na Yanga ile wanaweza kuichukulia kama taarifa rasmi, then mtu anaweza kwenda na kijani au njano watu wakamvamia.

Nausifu uongozi wa Simba kukanusha.
 
Hamasa inayoweza kuleta machafuko, kwa akili za washabiki wa Simba na Yanga ile wanaweza kuichukulia kama taarifa rasmi, then mtu anaweza kwenda na kijani au njano watu wakamvamia.

Nausifu uongozi wa Simba kukanusha.
mashabiki wa Simba sio wapumbavu kama Yanga
 
mashabiki wa Simba sio wapumbavu kama Yanga

Tulishawahi kung'oa viti Taifa, unazungumziaje hii? Haikuwa upumbavu?

Simba na Yanga wote baba yao moja tu, sema kwa sasa Simba maisha ni mazuri Mo anawezesha. Kipindi cha Manji, sisi ndio tulikuwa wagomvi, tunamlalamikia Jerry Muro kila mara kama Yanga wanavyolalamika kwa Manara this time.
 
Simba wanazingua bana...
 
Lengo kubwa la Mo ni kumuondoa Haji Manara Simba SC, na kuleta mtu mwingine ila namna ya kumuondoa ndiyo bado anasuka mipango
Hakuna mmiliki wa kampuni anayeweza kukubali kuwa na msemaji mwenye kauli chafu za kuua biashara.
 
Sio for public consumption..ina limitation zake.

Hawa utopolo wa nigeria wanapewa tiket zao ambazo wanaona zinafaa. Nyingine anapewa mwenyeji.

Ndiyo maana kila klabu inamashabiki wake na wanapewa kipaumbele.

Pata picha tuwape utopolo tiket elfu 10,afu wasiziuze huoni tutakosa mapato.

Kimsingi utopolo hawana haki ya kuingia uwanjani kama mashabiki halali wa simba wanazihitaji hizo tiketi.

Kama vipi wafudhu wao champs lig.

Kila mtu aende kwenye mechi zake. Pumbavuu..
 

Kwa hiyo Simba ina plan kuwapa Plateau tickets ngapi?

Na je, mkiwapa hizo tickets wakaziuza kwa washabiki wa Yanga mtafanya nini kuwazuia Yanga?
 
Kwa kifupi waliboronga wote.

Kilichokuwa ktk karatasi ni tofauti kilichosemwa.


Kulikuwa na ulazima gani wa kuongelea usajili wa tripple C? Kaduguda mweupe sana aiseeh.

Haya mambo enzi za Senzo au Bw. Magori hakuyaruhusu kabisa.
 
🤣😂
 
Hii inatuthibitishia ukosefu wa elimu na umbumbumbu mkubwa alionao Haji Manara
 
Kuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
we kweli akili huna
 
Kuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
Sisi hatuigi mabeberu
 
Idara hiyo hiyo ilijitangaza na kukanusha.
 
Wakati nakata tiketi washabiki wote niliokuwa nao walikuwa wanamuunga mkono manara wakawa wanawashaa viongozi wa simba kwanini wamekuwa walaini namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…