mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 663
- 714
We unajua ukweli wa mpira hakika. Nimependa ukweli wako katika hilo maana umeongea kimpiraMimi ni mwanasimba haswaa,uongozi umefanya vzr kumkataa hadharani.
Tatizo Manara ni mropokaji sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajua ukweli wa mpira hakika. Nimependa ukweli wako katika hilo maana umeongea kimpiraMimi ni mwanasimba haswaa,uongozi umefanya vzr kumkataa hadharani.
Tatizo Manara ni mropokaji sana.
huyo aliyeagiza kukanusha hana akili. kauli ya manala haikuwa na shida yeyote. kwangu ilikuwa hamasa
mashabiki wa Simba sio wapumbavu kama YangaHamasa inayoweza kuleta machafuko, kwa akili za washabiki wa Simba na Yanga ile wanaweza kuichukulia kama taarifa rasmi, then mtu anaweza kwenda na kijani au njano watu wakamvamia.
Nausifu uongozi wa Simba kukanusha.
mashabiki wa Simba sio wapumbavu kama Yanga
Simba wanazingua bana...Uongozi wa Simba kulingana na taarifa zilizotolewa na Haji Manara ambaye ni Mkuu na Mkuu wa habari wa habari mbele ya mechi yao dhidi ya Plateau United jambo hili halijakaa poa. Wangetafuta namna ya kuona sawa na kusawazisha lakini sio kumkataa kwa sababu siamini kama Manara ametoka tu nyumbani alifanya wanahabari akaongea.
Naamini alikuwa na baraka zote za klabu ndio maana alikuwa na Kaimu Mwenyekiti Mwina Kaduguda. Kama imetokea ameteleza, inatakiwa klabu itoea taarifa ya kufafanua na kuona sawa na msimamo wa klabu juu ya jambo fulani lakini sio kumkataa moja kwa moja.
Jambo hili linatazama katika kiwango cha kitaasisi na Manara alikuwa anaiwakilisha taasisi. Mimi naamini Simba ilimtuma Manara mavazi na wanahabari kwa lengo la kuamsha mechi ya Jumamosi kutokana na alivyojijengea umahiri katika eneo hilo.
Mwisho wa siku hakuna mtu anaezuiwa kwenda uwanjani, viwanjani sisi tunahamasisha amani, kweli, watu kushangilia na kuzodoana kupo lakini sio hatua hatua ya kutengeneza chuki na uadui.
Hakuna mmiliki wa kampuni anayeweza kukubali kuwa na msemaji mwenye kauli chafu za kuua biashara.Lengo kubwa la Mo ni kumuondoa Haji Manara Simba SC, na kuleta mtu mwingine ila namna ya kumuondoa ndiyo bado anasuka mipango
Sio for public consumption..ina limitation zake.Nilimkataa toka mwanzo, ni ujuha kujipa mamlaka ya kusema eti nani aingie na nani asiingie, ile ni for public consumption.
Labda anunue tickets zote 30,000 awagawie anaotaka waingie, ila si kutoa tamko la kuzuia washabiki wa Yanga.
BTW, Yanga hawaja shiriki Klabu Bingwa, waache waje wainjoi ushiriki kwa kuangalia kaka zao Simba wanavyo wawakilisha. Kwa nini tuwanyime wenzetu kuona pira biriani likitandazwa na kuwaondoa wa Nigeria!
Sio for public consumption..ina limitation zake.
Hawa utopolo wa nigeria wanapewa tiket zao ambazo wanaona zinafaa. Nyingine anapewa mwenyeji.
Ndiyo maana kila klabu inamashabiki wake na wanapewa kipaumbele.
Pata picha tuwape utopolo tiket elfu 10,afu wasiziuze huoni tutakosa mapato.
Kimsingi utopolo hawana haki ya kuingia uwanjani kama mashabiki halali wa simba wanazihitaji hizo tiketi.
Kama vipi wafudhu wao champs lig.
Kila mtu aende kwenye mechi zake. Pumbavuu..
Uongozi wa Simba kulingana na taarifa zilizotolewa na Haji Manara ambaye ni Mkuu na Mkuu wa habari wa habari mbele ya mechi yao dhidi ya Plateau United jambo hili halijakaa poa. Wangetafuta namna ya kuona sawa na kusawazisha lakini sio kumkataa kwa sababu siamini kama Manara ametoka tu nyumbani alifanya wanahabari akaongea.
Naamini alikuwa na baraka zote za klabu ndio maana alikuwa na Kaimu Mwenyekiti Mwina Kaduguda. Kama imetokea ameteleza, inatakiwa klabu itoea taarifa ya kufafanua na kuona sawa na msimamo wa klabu juu ya jambo fulani lakini sio kumkataa moja kwa moja.
Jambo hili linatazama katika kiwango cha kitaasisi na Manara alikuwa anaiwakilisha taasisi. Mimi naamini Simba ilimtuma Manara mavazi na wanahabari kwa lengo la kuamsha mechi ya Jumamosi kutokana na alivyojijengea umahiri katika eneo hilo.
Mwisho wa siku hakuna mtu anaezuiwa kwenda uwanjani, viwanjani sisi tunahamasisha amani, kweli, watu kushangilia na kuzodoana kupo lakini sio hatua hatua ya kutengeneza chuki na uadui.
we kweli akili hunaKuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
Sisi hatuigi mabeberuKuna umuhimu mkubwa kwa Yanga kuishangilia Simba kuliko kuizomea.TFF kwa hili hawako sawa,wapi Real Madrid ikicheza na Ac Milan washabiki wa Bacelona waingie na jezi zao kuwazomea Madrid. Huu ni utani wakijinga kabisa.
Lazima tuwachapeSimba Nguvu Moja
Idara hiyo hiyo ilijitangaza na kukanusha.Uongozi wa Simba kulingana na taarifa zilizotolewa na Haji Manara ambaye ni Mkuu na Mkuu wa habari wa habari mbele ya mechi yao dhidi ya Plateau United jambo hili halijakaa poa. Wangetafuta namna ya kuona sawa na kusawazisha lakini sio kumkataa kwa sababu siamini kama Manara ametoka tu nyumbani alifanya wanahabari akaongea.
Naamini alikuwa na baraka zote za klabu ndio maana alikuwa na Kaimu Mwenyekiti Mwina Kaduguda. Kama imetokea ameteleza, inatakiwa klabu itoea taarifa ya kufafanua na kuona sawa na msimamo wa klabu juu ya jambo fulani lakini sio kumkataa moja kwa moja.
Jambo hili linatazama katika kiwango cha kitaasisi na Manara alikuwa anaiwakilisha taasisi. Mimi naamini Simba ilimtuma Manara mavazi na wanahabari kwa lengo la kuamsha mechi ya Jumamosi kutokana na alivyojijengea umahiri katika eneo hilo.
Mwisho wa siku hakuna mtu anaezuiwa kwenda uwanjani, viwanjani sisi tunahamasisha amani, kweli, watu kushangilia na kuzodoana kupo lakini sio hatua hatua ya kutengeneza chuki na uadui.
Simba inahitaji kuwa na mwenyekiti kaduguda viatu havimtoshiKwa kifupi waliboronga wote.
Kilichokuwa ktk karatasi ni tofauti kilichosemwa.
Kulikuwa na ulazima gani wa kuongelea usajili wa tripple C? Kaduguda mweupe sana aiseeh.
Haya mambo enzi za Senzo au Bw. Magori hakuyaruhusu kabisa.
KabisaSimba inahitaji kuwa na mwenyekiti kaduguda viatu havimtoshi