Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

Una maanisha nini mkuu?
Mkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?
Kama shida ni bajeti hapo sawa. Yote ya yote ni mchezaji wangu, namtakia kheri akaendelee alipoishia na goli 4 na assist 6
 
Lakini sio kwa Saido mkuu, Saido ni mchezaji mzuri labda uzungumzie swala la umri ila kwa perfomance huwezi kumuweka kundi moja na aina ya Akpan
 
Huyu hata yanga walikili kuwa wamemuacha sio kwamba kiwango kilikuwa kidogo jamaa yupo vema ila ni short term plan,atasaidia katika mechi za msimu huu,

Faida...

Amezoea mazingira ya ligi yetu
Uzoefu wa mechi za kimataifa
 
Lakini sio kwa Saido mkuu, Saido ni mchezaji mzuri labda uzungumzie swala la umri ila kwa perfomance huwezi kumuweka kundi moja na aina ya Akpan
Lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…