DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Mwamba huyu hapaView attachment 2456578
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asiwe feisal?Hawezi kuwa Feisal labda Manzoki
Huyu tangu mwanzo amehusishwa sana na AzamKwanini asiwe feisal?
Hela ya usafiri hakuna mpaka mnapanda coaster,hela ya usajili wa maana itoke wapiKwanini asiwe feisal?
Una maanisha nini mkuu?View attachment 2456568
Daaaah Simba tupunguze mbwembwe. Hawa wachezaji wanaleta kujieleza sana
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Ila ataisadia Simba sio mbaya huyu japo umri na nidhamu ni changamoto kwakeView attachment 2456568
Daaaah Simba tupunguze mbwembwe. Hawa wachezaji wanaleta kujieleza sana
Mkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?Una maanisha nini mkuu?
View attachment 2456568
Daaaah Simba tupunguze mbwembwe. Hawa wachezaji wanaleta kujieleza sana
Lakini sio kwa Saido mkuu, Saido ni mchezaji mzuri labda uzungumzie swala la umri ila kwa perfomance huwezi kumuweka kundi moja na aina ya AkpanMkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?
Kama shida ni bajeti hapo sawa
Huyu hata yanga walikili kuwa wamemuacha sio kwamba kiwango kilikuwa kidogo jamaa yupo vema ila ni short term plan,atasaidia katika mechi za msimu huu,Mkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?
Kama shida ni bajeti hapo sawa. Yote ya yote ni mchezaji wangu, namtakia kheri akaendelee alipoishia na goli 4 na assist 6
Nidhamu yake ni mbovu kumzidi Morrison?Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Ila ataisadia Simba sio mbaya huyu japo umri na nidhamu ni changamoto kwake
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app