Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

Coaster ni aina moja wapo ya usafiri pendwa hapa nchini. Na hakuna kosa kisheria kutumia Coaster. Mbeya City na Ruvu ni miongoni mwa timu unazocheza nazo hata wewe kwa hiyo wote ni level moja tu.
Level moja wakati sisi tunampigia hesabu Bobosi nyie mnasajili Kibabu Saido halafu useme level moja!
 
Wenzio wapo group stage kwa kishindo,wewe upo kombe la luza kwa ndondokela yaani nyie kweli hamna akili
Sawa kolo asante kwa ushauri naona umewawakilisha wazee wako kina nyoni, bocco na babu saido.
 
Level moja wakati sisi tunampigia hesabu Bobosi nyie mnasajili Kibabu Saido halafu useme level moja!
Kumbe mnampigia hesabu? Nilidhani mshamsajili tayari. Hesabu hata Chama mlimpigia akiwa Berkane na mkatuaminisha uwa anatua kwenye mihogo. Vipi alitua? Pili Saido angekuwa babu msingemchukua kabla hajawatema. Halafu nyie wala mihogo mkiachwa muwe mnakubali!. Nakukumbusha usajili Simba haujaisha subiri msumari mwingine
 
Level moja wakati sisi tunampigia hesabu Bobosi nyie mnasajili Kibabu Saido halafu useme level moja!
Mngekuwa sio level moja saa hizi mngekuwa mmepangiwa group stage za Klabu bingwa za CAF na sio huko kwenye kombe la ma looser. Sisi ni hao hao wazee waliotufikisha hapo
 
Mngekuwa sio level moja saa hizi mngekuwa mmepangiwa group stage za Klabu bingwa za CAF na sio huko kwenye kombe la ma looser. Sisi ni hao hao wazee waliotufikisha hapo
Naona mzee wa kupanda Coaster unajitutumua mwenyewe na wazee wako hapo klabuni. Subirini kipigo cha paka mwizi toka kwa mafundi wa mpira hapa Masterkey, pale Mayele hapa Sureboy mbona mtapakatwa sana. Au tuwaazime dogo Clement Mzize?
 
Hesabu ndio mwanzo wa kumchukua, tulimchukuaga Mbuyu Twitwe kweupe kwa kutumia hesabu hizohizo.
 
Messi ni mmoja mwenye umri mkubwa kwenye timu, Makolo ni timu nzima
Age cheating

Mayele kwa mujibu wa taarifa zake za kuzalialwa ana miaka 28

Yani kamzidi miaka miwili Feisal

Sasa wewe ukimuangalia Feisal na ukimuangalia Mayele unaliona gape la miaka miwili pale?

Kuwa muungwana

Sasa wewe umechagua uongo mtamu unaokufariji kuwa unawachezaji wadogo kwasababu ya vyeti vyao lakini tukija kiuhalisia wale ni pure wazee

Home kikao hakianzi kama hao watu wamekosekana
 
Naamini viongozi Wana plan nzuri ya usajili. Kama Saidoo amepewa mkataba wa zaidi ya miezi 6 hapo ndo pa kuweka kweshenea. Lakini kama Uongozi umempa miezi 6 Kwa sharti la kuongeza kama ataonyesha kiwango hiyo iko poa.
 
Kapewa mwaka mmoja na miezi sita.
 
Wanazingua hao wanatafuta sababu za kubalance na kudiss usajili mi naona atasaidia
Tenaa? 🤣🤣

Kama nakuona baada ya kugundua ni Seido vile ulinywea ghafula. Teh.
 
Tenaa? [emoji1787][emoji1787]

Kama nakuona baada ya kugundua ni Seido vile ulinywea ghafula. Teh.
Mwamba sana huyu ndio mchezaji mwenye profile kubwa kuliko wote nchini
 
Unaambiwa kwenye interview yake jamaa kasema anaipenda simba toka utotoni kudadek[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji419]
Your browser is not able to display this video.
 
Hana tatizo la nidhamu. Ukweli ni kwamba ucha Mungu wake ndiyo unamfanya aonekane hana nidhamu. Trust me ni mchezaji mzuri sana. Ingawa umri kweli umeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…