Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Level moja wakati sisi tunampigia hesabu Bobosi nyie mnasajili Kibabu Saido halafu useme level moja!Coaster ni aina moja wapo ya usafiri pendwa hapa nchini. Na hakuna kosa kisheria kutumia Coaster. Mbeya City na Ruvu ni miongoni mwa timu unazocheza nazo hata wewe kwa hiyo wote ni level moja tu.