😂😂😂😂😂😂Hiyo ni marketing strategy ya kuuza tiketi tunaita vi udambwi dambwi we mtu hana kombe hata Moja unadhani siku hiyo ili siku kuu ifane utafanya kitu gani zaidi ya kupokea na kuaga utasikia "namleta kwenuuuuuiuiu mku-mku-mku-mkudeeeeeeeeee,mara bo-bo-bo-bokooooooooo mara Giza Hilo Kila mtu kwao"
🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo ni marketing strategy ya kuuza tiketi tunaita vi udambwi dambwi we mtu hana kombe hata Moja unadhani siku hiyo ili siku kuu ifane utafanya kitu gani zaidi ya kupokea na kuaga utasikia "namleta kwenuuuuuiuiu mku-mku-mku-mkudeeeeeeeeee,mara bo-bo-bo-bokooooooooo mara Giza Hilo Kila mtu kwao"
Mkude atakuwa mjinga sana kwenda kuagwa na watu ambao walikubaliana wote timu nzima kuwa Mkude ni kichaa aende akapimwe akili. Sikusikia mtu aliyesema hapa sio hivyo, kakosea kibinadamu tu.Sipendi siasa za mpira ila ni wazi Mkude atatumika kuinanga vibaya mno uto.
Kwa mpira wetu ulivyo, wachezaji wanajizika wanapotoka timu moja kwenda nyingine kati ya hizi timu mbili. Unapoteza sifa zote za kuja kuaminika katika ngazi zote za kiufundi na kiuongozi, labda kama utaenda timu zingine au TFF huko. Hili linaweza kubadilika huko mbele ila mpaka sasa limekuwa hivyo.
Ni wazi kuna watu bado wanampenda Mkude pale Simba na hiki kitendo ni kama favour kubwa sana kwake na kinaweza kumpatia njia ya kurudi Simba huko mbele.
Ni kama alivyofanya Niyonzima au Morrison. Hakikisha haubakishi upande mmoja na kinyongo. Career nzuri ya mchezaji hasa hawa ambao hawana elimu kubwa ni huko huko kwenye mipira kwa hiyo hautaki kujizibia rizki.
Maisha yanaenda kasi sana. Shabiki lialia wa uto anawatetea tena mishipa inamtoka wachezaji Mkude, Bocco, Manula, Chama na Zimbwe.Mkude atakuwa mjinga sana kwenda kuagwa na watu ambao walikubaliana wote timu nzima kuwa Mkude ni kichaa aende akapimwe akili. Sikusikia mtu aliyesema hapa sio hivyo, kakosea kibinadamu tu.
Utamuagaje kichaa? Kuna wakati Simba wanadhani kuwa Mkude na Boko wameilani Simba.
Mchezaji sio mwanachama wala Shabiki wa timu yoyote. Kuwepo Simba au kutokuwepo sio shida. YEYE anatafuta malisho mazuri.Maisha yanaenda kasi sana. Shabiki lialia wa uto anawatetea tena mishipa inamtoka wachezaji Mkude, Bocco, Manula, Chama na Zimbwe.
Ungewatetea hivi hawa wachezaji miaka 3 iliyopita, timu yako ingekukana na kukutupia laana kabisa.
i) Waswahili wana msemo: "Chelewa ufike!"Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali.
Zawadi inakuwa na maana na faida kama itatolewa kwa kuambatana (paired) na tukio linalozawadiwa.(Ivan Pavlov, Thorndike).
Kuwaaga Sasa is too late to cause motivation effects. yaani ni kuwabagaza tu kwa faida ya Simba kama vile kujikosha na kuondoa mikosi kutokana na manung:uniko kama yapo.
Kama unataka kumpa zawadi mwanao kwa kufaulu mpe zawadi hiyo mara tu kufaulu, usisubiri mtoto yuko form 4 ndiye umpe zawadi ya kufaulu darasa la Saba.
Wasikuli kama wanataka heshina yao iendelee kuwa juu.
Ulijua kuwa Mkude utamuacha, hutaendelea nae utaratibu wa kumuaga ungefanyika palepale (recency) ili ilitete maana na heshima kwake. Huku ni kumtweza mchezaji ambae sasa hivi yuko kwenye timu nyingine ambayo inashiriki ligi moja na Simba, conflict of interest inakakataa habari hizo.i) Waswahili wana msemo: "Chelewa ufike!"
ii) Waingereza wana msemo: "Better late than never!"
Wewe kwa maoni ya wasusie, unatumia msemo gani?
Nimeishajieleza. Yaliyobaki yako.Ulijua kuwa Mkude utamuacha, hutaendelea nae utaratibu wa kumuaga ungefanyika palepale (recency) ili ilitete maana na heshima kwake. Huku ni kumtweza mchezaji ambae sasa hivi yuko kwenye timu nyingine ambayo inashiriki ligi moja na Simba, conflict of interest inakakataa habari hizo.
Rapahael Boko mlimvunjia heshima yake kwa kumstaafisha kucheza bila ridhaa yake.
Mkude alipiga Ile mechi ya Mamelod tu pesa zote zilitumika vizuriIlikua wameenda kwanza kula pensheni zao klabu ya wazee Yanga kwahiyo sahivi ndo muda mzuri kuwaaaga baada ya kufanikiwa kuwatapeli yanga
Mmekuwa wasemaji wa wastaafu wa Simba? Mpira huu bwana daah....Mchezaji sio mwanachama wala Shabiki wa timu yoyote. Kuwepo Simba au kutokuwepo sio shida. YEYE anatafuta malisho mazuri.
Mkude Bado anacheza Kwa kujali professional yake Bora asihudhurie hilo tamasha la Simba.
Maana Kwa Sasa ni mchezaji lakini hachezi Simba what if Asajidiwe Labda KMC halafu wawe na mechi na Simba, naamini KMC hawatamwamini
Mkude haitaji publicity yoyote kutoka Simba kwakua si mambo yake, Mkude ni mtu wa aibu ki asili na hapendi kushika Headline.
Tajiri MO ni kipenzi cha Mkude, Nafikiri Yeye ndio ana mshinikiza Mkude aje aagwe kwa Heshima.
Mkude mwenyewe hana interest yoyote na mambo ayo.
Mmekuwa wasemaji wa wastaafu wa Simba? Mpira huu bwana daah....