Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ulijua kuwa Mkude utamuacha, hutaendelea nae utaratibu wa kumuaga ungefanyika palepale (recency) ili ilitete maana na heshima kwake. Huku ni kumtweza mchezaji ambae sasa hivi yuko kwenye timu nyingine ambayo inashiriki ligi moja na Simba, conflict of interest inakakataa habari hizo.
Rapahael Boko mlimvunjia heshima yake kwa kumstaafisha kucheza bila ridhaa yake.
AFADHALI MKEWE UMESEMA WATU HAWAMFAHAMU MUMEO VIZURI. WEWE UNALALA NA KUAMKA NAYE. WAAMBIE.