Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ulijua kuwa Mkude utamuacha, hutaendelea nae utaratibu wa kumuaga ungefanyika palepale (recency) ili ilitete maana na heshima kwake. Huku ni kumtweza mchezaji ambae sasa hivi yuko kwenye timu nyingine ambayo inashiriki ligi moja na Simba, conflict of interest inakakataa habari hizo.
Rapahael Boko mlimvunjia heshima yake kwa kumstaafisha kucheza bila ridhaa yake.
Kama Simba day ingefanyika baada ya mechi ya ngao ya jamii, haya yote tusingeyasikia.
Kipenzi cha mama yakoNgara23 kipenzi cha Hersi huyo.
Kipenzi cha Hersi na rafiki wa Mama yangu pia. Wanawake mna mambo kwa kweli 🤣Kipenzi cha mama yako
Ni kweli.Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali.
Zawadi inakuwa na maana na faida kama itatolewa kwa kuambatana (paired) na tukio linalozawadiwa.(Ivan Pavlov, Thorndike).
Kuwaaga Sasa is too late to cause motivation effects. yaani ni kuwabagaza tu kwa faida ya Simba kama vile kujikosha na kuondoa mikosi kutokana na manung:uniko kama yapo.
Kama unataka kumpa zawadi mwanao kwa kufaulu mpe zawadi hiyo mara tu kufaulu, usisubiri mtoto yuko form 4 ndiye umpe zawadi ya kufaulu darasa la Saba.
Wasikuli kama wanataka heshina yao iendelee kuwa juu.
Kipenzi cha mama yakoKipenzi cha Hersi na rafiki wa Mama yangu pia. Wanawake mna mambo kwa kweli 🤣
Yes. Mkude ni introvert flani hivi ukimfuatilia matukio yake.Mkude haitaji publicity yoyote kutoka Simba kwakua si mambo yake, Mkude ni mtu wa aibu ki asili na hapendi kushika Headline.
Tajiri MO ni kipenzi cha Mkude, Nafikiri Yeye ndio ana mshinikiza Mkude aje aagwe kwa Heshima.
Mkude mwenyewe hana interest yoyote na mambo ayo.
Wee ulikuwepooo?Mkude haitaji publicity yoyote kutoka Simba kwakua si mambo yake, Mkude ni mtu wa aibu ki asili na hapendi kushika Headline.
Tajiri MO ni kipenzi cha Mkude, Nafikiri Yeye ndio ana mshinikiza Mkude aje aagwe kwa Heshima.
Mkude mwenyewe hana interest yoyote na mambo ayo.
Wakati tunachukua mara 4 nyie mliweka udambwi dambwi gani chura jamani..mHiyo ni marketing strategy ya kuuza tiketi tunaita vi udambwi dambwi we mtu hana kombe hata Moja unadhani siku hiyo ili siku kuu ifane utafanya kitu gani zaidi ya kupokea na kuaga utasikia "namleta kwenuuuuuiuiu mku-mku-mku-mkudeeeeeeeeee,mara bo-bo-bo-bokooooooooo mara Giza Hilo Kila mtu kwao"
Huwezi kumuaga mtu ameshaondoka kacheza mahali pengine kavaa medali almost 8 kama sio tisa umuite kumuaga huo ni udambwi dambwi na hapa mkude na boko wakikomaa wanalipwa maana wanatumika kupiga publicity kanjibhai apige helaWakati tunachukua mara 4 nyie mliweka udambwi dambwi gani chura jamani..m
Kipenzi cha mama yako
Hata kama ni Utani, hii sio fea Mkuu 🥲Hiyo ni marketing strategy ya kuuza tiketi tunaita vi udambwi dambwi we mtu hana kombe hata Moja unadhani siku hiyo ili siku kuu ifane utafanya kitu gani zaidi ya kupokea na kuaga utasikia "namleta kwenuuuuuiuiu mku-mku-mku-mkudeeeeeeeeee,mara bo-bo-bo-bokooooooooo mara Giza Hilo Kila mtu kwao"
Kipenzi cha mama yako, na Mimi ndo baba ako wa kambo, kuwa na heshima Kwa mme wa mama yako basiYes maana anakufunda pia uweze mhudumia Hersi vizuri anasema wewe unajua kukatika na kulamba koni vizuri. Ni mwanafunzi wake kipenzi kweli kweli. Mke mdogo wa Hersi
Kipenzi cha mama yako, na Mimi ndo baba ako wa kambo, kuwa na heshima Kwa mme wa mama yako basi
Club kuwaaga wachezaji NI heshima kubwa.Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali.
Zawadi inakuwa na maana na faida kama itatolewa kwa kuambatana (paired) na tukio linalozawadiwa.(Ivan Pavlov, Thorndike).
Kuwaaga Sasa is too late to cause motivation effects. yaani ni kuwabagaza tu kwa faida ya Simba kama vile kujikosha na kuondoa mikosi kutokana na manung:uniko kama yapo.
Kama unataka kumpa zawadi mwanao kwa kufaulu mpe zawadi hiyo mara tu kufaulu, usisubiri mtoto yuko form 4 ndiye umpe zawadi ya kufaulu darasa la Saba.
Wasikuli kama wanataka heshina yao iendelee kuwa juu.
Simba imepoteza mvuto, migogoro mingi, wanamtafuta Manzoki (Mkude na Boko) mwingine kama mwarobaini wa kutibu mparaganyiko na mtifuano wao wa ndani kwa ndani.Huwezi kumuaga mtu ameshaondoka kacheza mahali pengine kavaa medali almost 8 kama sio tisa umuite kumuaga huo ni udambwi dambwi na hapa mkude na boko wakikomaa wanalipwa maana wanatumika kupiga publicity kanjibhai apige hela
Yanga kumuaga mkudeSimba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali.